Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

mm nilikuwa nashangaa mtu yuko rumande lkn kanenepa , shavu dodo , mixer superblack kichwani na yuko smart sana kama katoka state house [emoji23][emoji23][emoji23]..

Hii nchii ni ngumu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Siasa ni mchezo wa kuigiza kwani huonagi kila wanapokwenda wanasiasa kuna kuwa na ma camera ! Hata wakiwa ofisini kwenye kikao kuna kua na ma camera!

Hiyo ni tamthilia mkuu utakuja kustuka baadae sanaa
We unasubiriwa hukumu gani ili hali Ukweli unajulikana Sabaya yupo huru?

We unategemea atashindwa?
 
LEO NI HUKUMU YA ALIYEKUWA DC MASHUHURI LENGAI OLE SABAYA. ENDAPO HUKUMU IKIAHIRISHWA TENA LEO, TUTAJUA KUNA JAMBO NYUMA YA PAZIA.

Na jambo lenyewe ndio hiyo hukumu

Au kuna lingine😅
 
Hukumu yake itakushangaza unaweza shangaa akapigwa faini ya tumilioni 30 au kifungo cha mwaka mmoja[emoji16]
 
Itahairishwa tu no hukumu

Na hukumu ikitolewa mta blw😂

Ova
 
Na kweli, hukumu ya wananchi ndiyo iliyobaki
 
Mvua 7 zinamuhusu, option ya faini haipo.
 
Hilo la jambazi unalisema wewe siyo mahakama!
Akufungwa wengine tutasikia vibaya, lakini kazi ameifanya. Safisha majambazi na mbegu yote iliyopandwa na Lema, wamepotea wote waliobaki wachache sana wamekimbilia Kenya. Tunafahamu kitu gani kimewapata lakini wote waliokuwa wakinyanganya askari silaha tunafahamu wameenda wapi.

Matatizo sugu ya kijamii kwisha. Dhulma za ardhi zilizo kithiri kwisha. Na karibu wote wahanga wamepata haki zao.
Na waliokuwa wakijifanya kuongoza magenge ya uharamia wamekuwa exposed.

Amani imerudi Machame/Hai. Sabaya OYEEEEEE.
 
Taga mwaka huu mtakufa bure[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Na leo mama ndio yupo Kilimanjaro kiziara ...hahaha
 

Huku hakimu vipi hajapandishwa cheo? Ile kauli ya kuangalia angalia mwelekeo wa serikali kuu nayo vipi? Nayo inamhusu vile vile?
 
CCM na serikali yao wala siwaamini. Tungoje tuone tu kitatokea nini ila tutegemee drama tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…