Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwa muda alio kaa ndani inatoshazote zitapindishwa pindishwa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muda alio kaa ndani inatoshazote zitapindishwa pindishwa tu.
Mhh ngoja tuone hawa mumiani hawaaminiki.Miaka 30 jela
mm nilikuwa nashangaa mtu yuko rumande lkn kanenepa , shavu dodo , mixer superblack kichwani na yuko smart sana kama katoka state house [emoji23][emoji23][emoji23]..Hakuna kesi hapo. Kulikuwa na maigizo tu. Mtu kashikiliwa lakini kila mahudhurio ya mahakamani kapata super black.
Tutasikia ngonjera za maigizo ya sheria na kuambiwa alipe faini maisha yaendelee. Na msihangae baada ya haya yote akateuliwa nafasi nyingine.
We unasubiriwa hukumu gani ili hali Ukweli unajulikana Sabaya yupo huru?Siasa ni mchezo wa kuigiza kwani huonagi kila wanapokwenda wanasiasa kuna kuwa na ma camera ! Hata wakiwa ofisini kwenye kikao kuna kua na ma camera!
Hiyo ni tamthilia mkuu utakuja kustuka baadae sanaa
LEO NI HUKUMU YA ALIYEKUWA DC MASHUHURI LENGAI OLE SABAYA. ENDAPO HUKUMU IKIAHIRISHWA TENA LEO, TUTAJUA KUNA JAMBO NYUMA YA PAZIA.
Lazima itaahirishwaLEO NI HUKUMU YA ALIYEKUWA DC MASHUHURI LENGAI OLE SABAYA. ENDAPO HUKUMU IKIAHIRISHWA TENA LEO, TUTAJUA KUNA JAMBO NYUMA YA PAZIA.
Atashinda kesiHukumu yake itakushangaza unaweza shangaa akapigwa faini ya tumilioni 30 au kifungo cha mwaka mmoja[emoji16]
Shule ya kata matunda yake, I am sorry anyway!ukumu
Na kweli, hukumu ya wananchi ndiyo iliyobakiHakuna kesi hapo. Kulikuwa na maigizo tu. Mtu kashikiliwa lakini kila mahudhurio ya mahakamani kapata super black.
Tutasikia ngonjera za maigizo ya sheria na kuambiwa alipe faini maisha yaendelee. Na msihangae baada ya haya yote akateuliwa nafasi nyingine.
Akufungwa wengine tutasikia vibaya, lakini kazi ameifanya. Safisha majambazi na mbegu yote iliyopandwa na Lema, wamepotea wote waliobaki wachache sana wamekimbilia Kenya. Tunafahamu kitu gani kimewapata lakini wote waliokuwa wakinyanganya askari silaha tunafahamu wameenda wapi.Hilo la jambazi unalisema wewe siyo mahakama!
Taga mwaka huu mtakufa bure[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Akufungwa wengine tutasikia vibaya, lakini kazi ameifanya. Safisha majambazi na mbege yote iliyopandwa na Lema, wamepotea wote waliobaki wachache sana wamekimbilia Kenya. Tunafahamu kitu gani kimewapata lakini wote waliokuwa wakinyanganya askari silaha tunafahamu wameenda wapi.
Matatizo sugu ya kijamii kwisha. Dhulma za ardhi zilizo kithiri kwisha. Na karibu wote wahanga wamepata haki zao.
Na waliokuwa wakijifanya kuongoza magenge ya uharamia wamekuwa exposed.
Amani imerudi Machame/Hai. Sabaya OYEEEEEE.
Na leo mama ndio yupo Kilimanjaro kiziara ...hahahaWanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama.
=======
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili leo Ijumaa Oktoba 15, 2021 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
Hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Amalia Mushi aliahirisha hukumu hiyo Oktoba Mosi, 2021 baada ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, kutokamilisha kuandika hukumu hiyo.
Agosti 24 mwaka huu, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu na Daniel Mbura walikamilisha kujitetea mahakamani hapo baada ya Jamhuri kukamilisha mashahidi 11 na vielelezo vinane.
Sabaya alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Juni 4, mwaka huu baada ya kukamatwa Mei 27 wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Mwananchi
Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.