Pamoja na alikuwa bedui lakini inaumiza kijana kufungwa, ameacha binti mrembo sanaAliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Duh umetukumbusha mbali jamaniLaiti angesikiliza maneno ya lema,ambapo MUNGU alimuonya sabaya kupitia kwa lema angelipona
Yah nakumbuka mkuuUnakumbuka 2019 niliandika ule uzi watu wakamtetea kajionee maajabu
Aisee...Zile tabasamu alizokua anaenda mahakamani amekenua meno zimeyeyuka?
Kwa leo tudeal na hili kwanza!Kesi hii imeanika wazi tulikuwa na Rais wa aina gani!ila ukumbuke tu Mungu ni wa wote,hukumu ya kesi ya mwenyekiti inakuja.
Miaka 30 jela
SawasawaSabaya akifungwa watendaji wa serikali wataheshimu madaraka na kutenda haki
Mngwira RIP. Ile clip ukiiona utajua Sabaya alikuwa Nani hapa URT.
Kina Kingai na Mahita wamemwangusha sana.Sirro ana la kujifunza hapa.
Nitaipataje hiyo clip?mama kubwa said:
Mngwira RIP. Ile clip ukiiona utajua Sabaya alikuwa Nani hapa URT.
Ila sheria kwa kosa Kama la sabaya imeweka adhabu Kali Sana. Màana yangu ni kwamba Hakim kadhibisha Sabaya alikuwa na bunduki, sambamba na wenzie, lakin hapo Hapa Hakim kasema hzo bunduki hazikutumika, Hapa naona bas adhabu ingekupunguzwa kwanye miaka 30 angalau ata 15.
Bado baba yako.Bado mbowe
Robert Kelly kapigwa ngap MzeeKufungwa kitu gani bana hata R Kelly amefungwa
Akafie mbali kulePamoja na alikuwa bedui lakini inaumiza kijana kufungwa, ameacha binti mrembo sana
kwani sio mbakaji tena30 parefu Sanaa Kama mbakaji
Usiongee hivyo bado unasafari ndefu bintiAkafie mbali kule