Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

MAJAMBAZI UTAWAJUA TU
 
Nani asikiye vibaya?jambazi kufungwa?labda wewe ndo utasikia vibay lazima ahukumiwe kwa mambo mabaya aliyofanya jambaz la kiarusha
 
Sabaya ana hukumiwa kifungo cha miaka 15 jela. Ndivyo penal code inavyotaka kulingana na mashtaka aliyo shtakiwa nayo na ameshindwa kudhibitisha kuwa hakutenda hivyo.
Hakuna option ya fine wala mbadala mwingine labda akate rufaa ya mapitio upya.
 
huwa najaribu kufikiria kama babake huyo angetawala hiyo miaka hadi 2035 waliyotaka sijui nchi hii ingefikia wapi.
Kama leo tuu 2021 hali aliifikisha hapa sidhani kama Angefika huko 2035. Lazima kwa maumivu haya angetokea wa kulima "njugu na kumlisha". Lazima angekula njugu tuu!
 
Sabaya ana hukumiwa kifungo cha miaka 15 jela. Ndivyo penal code inavyotaka kulingana na mashtaka aliyo shtakiwa nayo na ameshindwa kudhibitisha kuwa hakutenda hivyo.
Hakuna option ya fine wala mbadala mwingine labda akate rufaa ya mapitio upya.
Jukumu la mshitakiwa siyo kuthibitisha kuwa hakutenda hivyo bali ni jukumu la mshitaki kuthibitisha kuwa alitenda hivyo!!
 
MAHAKAMA IMESHINDWA KUTHIBISHA BILA KUACHA SHAKA KUWA SABAYA ALITENDA MAKOSA HAYO USHAHIDI HAUJATHIBITISHA HIVYO MAHAKAMA IMEMUACHIA HURU
 
MAHAKAMA IMESHINDWA KUTHIBISHA BILA KUACHA SHAKA KUWA SABAYA ALITENDA MAKOSA HAYO USHAHIDI HAUJATHIBITISHA HIVYO MAHAKAMA IMEMUACHIA HURU
Dah....wahenga walisema kitambo sana...kesi ya Sabaya ilikuwa sinema tu..na wengi iliwalevya 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…