Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Kamaliza kazi aliyotumwa sisi raha tuu. Waache wasage meno.Taga mwaka huu mtakufa bure[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamaliza kazi aliyotumwa sisi raha tuu. Waache wasage meno.Taga mwaka huu mtakufa bure[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
MAJAMBAZI UTAWAJUA TUAkufungwa wengine tutasikia vibaya, lakini kazi ameifanya. Safisha majambazi na mbegu yote iliyopandwa na Lema, wamepotea wote waliobaki wachache sana wamekimbilia Kenya. Tunafahamu kitu gani kimewapata lakini wote waliokuwa wakinyanganya askari silaha tunafahamu wameenda wapi.
Matatizo sugu ya kijamii kwisha. Dhulma za ardhi zilizo kithiri kwisha. Na karibu wote wahanga wamepata haki zao.
Na waliokuwa wakijifanya kuongoza magenge ya uharamia wamekuwa exposed.
Amani imerudi Machame/Hai. Sabaya OYEEEEEE.
Mmhhh!CCM na serikali yao wala siwaamini. Tungoje tuone tu kitatokea nini ila tutegemee drama tu hapa.
Nani asikiye vibaya?jambazi kufungwa?labda wewe ndo utasikia vibay lazima ahukumiwe kwa mambo mabaya aliyofanya jambaz la kiarushaAkufungwa wengine tutasikia vibaya, lakini kazi ameifanya. Safisha majambazi na mbegu yote iliyopandwa na Lema, wamepotea wote waliobaki wachache sana wamekimbilia Kenya. Tunafahamu kitu gani kimewapata lakini wote waliokuwa wakinyanganya askari silaha tunafahamu wameenda wapi.
Matatizo sugu ya kijamii kwisha. Dhulma za ardhi zilizo kithiri kwisha. Na karibu wote wahanga wamepata haki zao.
Na waliokuwa wakijifanya kuongoza magenge ya uharamia wamekuwa exposed.
Amani imerudi Machame/Hai. Sabaya OYEEEEEE.
Kabisa mkuu nashangaa wanaomteteaHuyu punda inabidi afungwe maisha
huwa najaribu kufikiria kama babake huyo angetawala hiyo miaka hadi 2035 waliyotaka sijui nchi hii ingefikia wapi.Huyu punda inabidi afungwe maisha
Kama leo tuu 2021 hali aliifikisha hapa sidhani kama Angefika huko 2035. Lazima kwa maumivu haya angetokea wa kulima "njugu na kumlisha". Lazima angekula njugu tuu!huwa najaribu kufikiria kama babake huyo angetawala hiyo miaka hadi 2035 waliyotaka sijui nchi hii ingefikia wapi.
Hakuna kitu kinachoitwa 'ukumu' bali kuna HUKUMU..Injinia unafeli wapi!?
Dah! Alafu utakuta mtu kama huyo ni mjuaji balaaHakuna kitu kinachoitwa 'ukumu' bali kuna HUKUMU..Injinia unafeli wapi!?
Jukumu la mshitakiwa siyo kuthibitisha kuwa hakutenda hivyo bali ni jukumu la mshitaki kuthibitisha kuwa alitenda hivyo!!Sabaya ana hukumiwa kifungo cha miaka 15 jela. Ndivyo penal code inavyotaka kulingana na mashtaka aliyo shtakiwa nayo na ameshindwa kudhibitisha kuwa hakutenda hivyo.
Hakuna option ya fine wala mbadala mwingine labda akate rufaa ya mapitio upya.
Dah....wahenga walisema kitambo sana...kesi ya Sabaya ilikuwa sinema tu..na wengi iliwalevya 🤣🤣🤣🤣MAHAKAMA IMESHINDWA KUTHIBISHA BILA KUACHA SHAKA KUWA SABAYA ALITENDA MAKOSA HAYO USHAHIDI HAUJATHIBITISHA HIVYO MAHAKAMA IMEMUACHIA HURU
Ni leo pale Mahakama ya hakimu mkaazi Arusha.Hukumu ya gaidi lini?
Weeee bwana apia!!!!!!MAHAKAMA IMESHINDWA KUTHIBISHA BILA KUACHA SHAKA KUWA SABAYA ALITENDA MAKOSA HAYO USHAHIDI HAUJATHIBITISHA HIVYO MAHAKAMA IMEMUACHIA HURU