Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Take a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
.....and then F.A Mbowe will be pardoned too.....
 
Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Eeeee, "Mzinga wa nyuki"? Mzinga wa nani huo!

Utashangaa sana yakianza ya kuanza kwake jinsi atakavyokuwa mpweke. Hakuna cha mzinga wala nini.

Tena wakati huu mzuri sana, maanake sifa za "Utawala Bora" zitakuwa zinamiminika toka sehemu zote hadi kusikitegemewa.
 
Sabaya anatolewa kwa rufaa, hapo serikali imeshacheza karata zake. Kwenye rufaa mahakama itatengua hukumu hio.

Subirini muone. Hii nchi ni ya kishenzi sana kwenye swala la haki.
Tangu awali mlitabiri mengi mazuri kwa mabaya aliyotenda Sabaya, mlichosahahu tu ni kuwa aliyewabeba kwa maovu ametwaliwa Mawinguni.
 
Wakati akimtumikia shetani Mungu alikuwa likizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…