Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitoka atakuwa kapata wokovu kamiliMungu yupo kazini kabla hata hajazaliwa,asifikiri ndio anaanza leo kwa sababu yeye kafungwa.
Tanzania HAKI ilipotea kabisa naona sasa inaanza kurudi big up Rais Samia.Vipi sasa unaamini nini sasa hivi?? Haki ipo Tanzania au haipo??
.....and then F.A Mbowe will be pardoned too.....Take a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
Eeeee, "Mzinga wa nyuki"? Mzinga wa nani huo!Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Sabaya alikabiliwa na kesi ya kweli huku Mbowe akipewa kesi ya uongo
Umeona mbali,tusubiri shilingi igeuzwe.Hii hukumu kuna mtu anatafutwa, ili waje waseme kwa sabaya ilikuwa hivi, sidhani kama ushahidi umekamilika.siasa chafu sana
Tangu awali mlitabiri mengi mazuri kwa mabaya aliyotenda Sabaya, mlichosahahu tu ni kuwa aliyewabeba kwa maovu ametwaliwa Mawinguni.Sabaya anatolewa kwa rufaa, hapo serikali imeshacheza karata zake. Kwenye rufaa mahakama itatengua hukumu hio.
Subirini muone. Hii nchi ni ya kishenzi sana kwenye swala la haki.
Uchaguzi ukikaribia utaona kitakachotokea.Umeona mbali,tusubiri shilingi igeuzwe.
Wakati akimtumikia shetani Mungu alikuwa likizoAliyekuwa Dc wa Hai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa amewatoa wasiwasi wafuasi wake kwa kuwapa kauli ya kiroho , Amesema hivi , Nanukuu , MSIJALI MAANA MUNGU YUKO KAZINI , Mwisho wa kunukuu .
Chanzo : Mwananchi
Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa shida iliyotokea kutokana na hukumu aliyopewa kijana wao .
Unajuaje kuwa na yeye alikuwa hajaambukizwaAje nimuoe Mimi awe mke wa pili😄😄😄😄😄😄
Hata akitoka atakua hana kazi wala income yoyote ileSabaya anatolewa kwa rufaa, hapo serikali imeshacheza karata zake. Kwenye rufaa mahakama itatengua hukumu hio.
Subirini muone. Hii nchi ni ya kishenzi sana kwenye swala la haki.
Zamu yake yaja.Who is makonda in this country.Makonda ni mzinga wa nyuki, ukiguswa nchi haitakalika.
Akafungwe na mama yako .. maana na wewe ulikuwa upande wa sabayaKufungwa kitu gani bana hata R Kelly amefungwa