Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Hilo litakuwa ajabu lingine la dunia!!kwani leo ndio uamuzi wa kuwa ana kesi au hana?au umekurupuka mkuu?
Yote kwa yote, huo ndio ukweli mchungu, kwa upande mmoja gaidi anayetuhumiwa kutaka kuua viongozi akishirikiana na Makomando akionekana Ana hatia ndio tutamuachia maana gaidi atakuwa sehemu salama zaidi mbali na viongozi, pia upande mwingine wa shilingi akionekana hana hatia tutamuachia pia maana usalama wake utakuwa umehakikishiwa, its just the matter of clarifying all possible doubts before releasing the baby…

Kumbuka na mashada kwenye tomb of baby’s dad tumeweka juzi tu, picha la kihindi flani hivi…
 
Aachiwe huru mara moja. Chadema na mbowe wake hawana jema hata ukiwapa dunia na vyote vilivyomo.
 
anafungwa halafu mama ana Ziara kilimanjaro! watamshangilia sana Hai huko wakiimba Mbowe aachiweee
 
Siku zinaenda kasi sana daaah,ngoja waje watetezi wake humu!!!yule Jambazi asipofungwa nitaamini Uchawi upo
Na yule gaidi Mbowe tunasubiri hukumu yake kwa hamu sana
 
15 years in jail ili kuwazuga watu then atakata rufaa na kupewa ushindi then anachiwa huru. Haya ni maelekezo kutoka kwa mama, siyo mahakama. Mark my words.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…