The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ndugu yake Ole guna sosha anasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kulee kumepoaa kwanza kwa gaidiHukumu ya gaidi lini?
Yote kwa yote, huo ndio ukweli mchungu, kwa upande mmoja gaidi anayetuhumiwa kutaka kuua viongozi akishirikiana na Makomando akionekana Ana hatia ndio tutamuachia maana gaidi atakuwa sehemu salama zaidi mbali na viongozi, pia upande mwingine wa shilingi akionekana hana hatia tutamuachia pia maana usalama wake utakuwa umehakikishiwa, its just the matter of clarifying all possible doubts before releasing the baby…Hilo litakuwa ajabu lingine la dunia!!kwani leo ndio uamuzi wa kuwa ana kesi au hana?au umekurupuka mkuu?
Vyote vipi. Umeshawahi kuwapa ...** ?Aachiwe huru mara moja. Chadema na mbowe wake hawana jema hata ukiwapa dunia na vyote vilivyomo.
Ni kweli mna raha? Mwenyekiti wetu yupo anakula dona segerea mwezi wa 3 huu.. na bado una raha?Kamaliza kazi aliyotumwa sisi raha tuu. Waache wasage meno.
Ila mbowe atoke?Kabisa mkuu nashangaa wanaomtetea
Kweli.. ila mwenyekiti wetu atoke, jela sio kwa mbowe, ila ni kwa Sabaya.Huyu punda inabidi afungwe maisha
MAHAKAMA IMESHINDWA KUTHIBISHA BILA KUACHA SHAKA KUWA SABAYA ALITENDA MAKOSA HAYO USHAHIDI HAUJATHIBITISHA HIVYO MAHAKAMA IMEMUACHIA HURU
Naomba sana breaking news ya Miaka 40 jela jizi na Libakaji hiloHukumu ndio imeanza kusomwa muda huu.
Utupe kabisa majibu hapa hapa mkuu wangu tena usicheleweHukumu ndio imeanza kusomwa muda huu.
Na yule gaidi Mbowe tunasubiri hukumu yake kwa hamu sanaSiku zinaenda kasi sana daaah,ngoja waje watetezi wake humu!!!yule Jambazi asipofungwa nitaamini Uchawi upo
Unyang'anyi wa kutumia silaha miaka 7?Mimi nilifikiri ni miaka 30!!!Miaka 7 jela
Teh tehUtupe kabisa majibu hapa hapa mkuu wangu tena usichelewe