Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Haaaaa Haaaaa 😂 King Kong III ongezea neno hapa
 
Jamaa pale SJUT dom hakumaliza chuo.
Alisanturi aka LP, utapeli aliuanza pale, wizi alifanya pale.kibri pia, Mademu sawa kwa sababu ni ugonjwa wa wengi.sitaki.nimuangushie zigo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Balaa yote kwa wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi tunajua nani kaleta. Kutuwekea mwenyekiti sio mwanamapinduzi. Mtu kapikwa huko na ma ngo mnampachika kuendesha mapinduzi. Anawaangalia wazungu kwa ushauri na zile hela walizokua wanampa kwenye ngo.
Hivi kweli kwa kazi aliyofanya sabaya hai utawezaje kuacha sabaya afungwe kwa ujambazi? Kwani serikali hii ya ccm siku zote kiongozi akikosea simnamuonya au simnamtoa? Yaani mliteua kiongozi jambazi? Shame on ccm ya hangaya. Ndio maana tumeona waadilifu na Phd zao wanatolewa wanawekwa wajuzi wa kupiga hela na mali ya umma.
 
Haaaaa Haaaaa 😂 King Kong III ongezea neno hapa

Hahahaa Sabaya atatoka na miaka 54 (34 + 20 (atatumikia 2 ya 3 ya miaka 30)] ,mimi napendekeza kesi zingine zinazikuja vifungo vyake visiende kwa pamoja yaani wavitenganishe ,akimaliza 54 zije za Ubakaji ,kutumia madaraka vibaya ,utakatishaji fedha ,mashambulio ya kudhuru mwili etc apigwe mvua kama 50 hivi ndio zinamtosha.
 
Haaaaa Haaaaa 😂 tena umenikumbusha alinibaka huyo ngoja nikafungue kesi
 
Mbowe yeye anatuhumiwa kupanga mipango miovu ya kuvuruga AMANI YA nchi.
sasa wewe jiulize mtu anaye taka kuvuruga amani ya nchi unajua madhara yake ni makubwa kiasi gani?! ni hatari kubwa sana na kama akikutwa na hatia anastahili adhabu kali zaidi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine wanao jaribu kuchezea amani ya nchi
yaani huwezi kulinganisha makosa ya unyanganyi na makosa ya mbowe ya kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi.
 
Una ongelea Mbowe!!..Sabaya bado ana Kesi nyingine ndio utajua hujui!!!..Hii moja Kala 30 tuna subiri hukumu nyingine Ndugu!!!..
Mbowe yeye anatuhumiwa kupanga mipango miovu ya kuvuruga AMANI YA nchi.
sasa wewe jiulize mtu anaye taka kuvuruga amani ya nchi unajua madhara yake ni makubwa kiasi gani?! ni hatari kubwa sana na kama akikutwa na hatia anastahili adhabu kali zaidi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine wanao jaribu kuchezea amani ya nchi
yaani huwezi kulinganisha makosa ya unyanganyi na makosa ya mbowe ya kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi.
 
Kuna kufanya kitu na kuna kutaka kufanya
 
Jamaa yako bado ana kesi ya uhujumu uchumi,kubaka,kuwapa watu vilema kutumia Madaraka vibaya!!!..
 
Jamaa yako bado ana kesi ya uhujumu uchumi,kubaka,kuwapa watu vilema kutumia Madaraka vibaya!!!..
Mbowe yeye anatuhumiwa kupanga mipango miovu ya kuvuruga AMANI YA nchi.
sasa wewe jiulize mtu anaye taka kuvuruga amani ya nchi unajua madhara yake ni makubwa kiasi gani?! ni hatari kubwa sana na kama akikutwa na hatia anastahili adhabu kali zaidi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine wanao jaribu kuchezea amani ya nchi
yaani huwezi kulinganisha makosa ya unyanganyi, n.kna makosa ya mbowe ya kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi, Amani ya nchi ndio inayo tufanya leo tunafurahia haki kutendeka, amani ya nchi ndio mpango mzima, leo hii Mbowe na Genge lake la kihalifu wanadaiwa kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi iliyo tengenezwa na kulindwa kwa zaidi ya miaka 60!!
Amani ya nchi yetu ni ya thamani kubwa sana kuliko mbowe au mtu yeyote yule, atakaye bainika kuchezea amani yetu atashughulikiwa bila huruma.
 
Attachments

  • IMG_0666.MP4
    5.7 MB
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utalaumu sana na atakua Huru!!.. Hakuna mtu ana kubali Mtego kama huu wa kina Mbowe!!!.. Unadhani wale jamaa wajinga kutaka kufanya Kazi ya VIP protection?!!...
 
umesahau: ameacha mchumba aliyekwishamtolea mahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…