Dada saivi nipo hapa Maji ya Chai Meru DC naulizia nyumba ya binti najua ashalipiwa mahari so tunazungumza tu tuyamalize binti hawezi enda EDA View attachment 1976000
hii kitu imekaa vibaya sana kwa gaidi wenu, mark my wordsKuonekana lina Kesi ya Kujibu tu ni kwamba Mahakama ilijiridhisha ni Jambazi lakini haliwezi kuhukumiwa bila kupewa nafasi ya walau kujitetea,ile kuwekwa Kisongo tu tayari ni dalili kwamba ni Jambazi,leo kitavalishwa rasmi gwanda la Jela,hakika What Goes Around Comes Around
Yani Gaidi tena!!..Mwenzenu Kala 30 na Mataga wanafurahi tokea Jana!!....hii kitu imekaa vibaya sana kwa gaidi wenu, mark my words
ndio akili zenu zilivyo finyu matagaMbowe anaenda kula mvua 30
Waambie jamaa Kala 30 bado ana kesi zingine hazijatolewa hukumu!!..Mbowe bado tupo nae uraiani tuna subiria muda Tu!!ndio akili zenu zilivyo finyu mataga
kuna watu wajinga sana PGO tu imewashindaMbowe anafungwa tuombe tu Mungu na tuendelee kuwepo
Hukumu ya sabaya hii 30 na bado ana kesi nyingine je akiukumiwa Tena 30 maana yake 60 hapa Kuna harufu ya siasa .
Aliokuwa akifaya nao Kazi wamemzunguka na kumtosa!!
Ila nawashauri msije kujaribu kumfunga Mbowe kitanuka street wajeda lazima watakinukisha tu!!
ccm akilia hamna kabisa nyieMbowe sasa hatalala, moto unaelekea kwake..
Umejuaje kama wapo wengi?[emoji28][emoji28] hebu weka kapicha.Mbona wako wengi[emoji41][emoji41] au shida yako upite hapo kwa Ole
Vipi mkuu, unasemaje kuhusu hukumu ya mahakama ya miaka 30 dhidi ya kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha iliyomuangukia Sabaya!!?? Bado wameamua kumhifadhi kwa miaka 30 dhidi ya gaidi!?? Viboko wakili amemuombea viondolewe, na ombi limekubalika.Watu kwa kujifariji hamjambo, hamna kesi hapo, alihifadhiwa kwa usalama wake mwenyewe dhidi ya shambulio la kigaidi…
Umeiona sheria na vifungu vilivyompiga mvua 30 Sabaya?Kwa sheria gani bwashee?!
jipeni moyo tu mataga nyie, kwa ushahidi wa kingai?Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Hahahaaaa....... Watu mna uchuro sana!Umeiona sheria na vifungu vilivyompiga mvua 30 Sabaya?
Hahahaaaa....... Watu mna uchuro sana!
Hai hakuna Mkuu wa Wilaya mwingine? CCM ina vijana wa hovyo sana."Sabaya bado hajapokea barua ya kuachishwa kazi ya mkuu ya wilaya ya hai Bali aliondolewa kupisha uchunguzi"
Mkuu king kong 3 unajua hakimu amempunja Sir Mbaya kutokana na makosa yake ...idadi ya makosa aliyonayo hayaendani na aliyonayo....Hahahaa Sabaya atatoka na miaka 54 (34 + 20 (atatumikia 2 ya 3 ya miaka 30)] ,mimi napendekeza kesi zingine zinazikuja vifungo vyake visiende kwa pamoja yaani wavitenganishe ,akimaliza 54 zije za Ubakaji ,kutumia madaraka vibaya ,utakatishaji fedha ,mashambulio ya kudhuru mwili etc apigwe mvua kama 50 hivi ndio zinamtosha.
Kafanya nn Cha maana huyo muhuni mpuuzi mkubwa....Kwhy Jpm ndio katiba yetu ....ujinga Watz tutaacha liniBalaa yote kwa wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi tunajua nani kaleta. Kutuwekea mwenyekiti sio mwanamapinduzi. Mtu kapikwa huko na ma ngo mnampachika kuendesha mapinduzi. Anawaangalia wazungu kwa ushauri na zile hela walizokua wanampa kwenye ngo.
Hivi kweli kwa kazi aliyofanya sabaya hai utawezaje kuacha sabaya afungwe kwa ujambazi? Kwani serikali hii ya ccm siku zote kiongozi akikosea simnamuonya au simnamtoa? Yaani mliteua kiongozi jambazi? Shame on ccm ya hangaya. Ndio maana tumeona waadilifu na Phd zao wanatolewa wanawekwa wajuzi wa kupiga hela na mali ya umma.
Umejuaje kama wapo wengi?[emoji28][emoji28] hebu weka kapicha.
Ila nizaaga na Mmeru fkani mwaka 2017 yule paka akatoroka na mwanangu shenzi sana na kwao sipajui
Sister alikua chombo balaa nlikutana nae Loliondo DC alikua mkali saana kenge yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi jina mwanangu nlimpa AARON lile Punda ntalisaka maana liliniambia kwao ni Wilaya ya Meru DCToka nje uanze kuwahesabu utaelewa
Ukiona mwanamke anatoroka na mtoto wenu jitafakari