Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Wengi wetu hakuna kitu tunajua, tupunguzeni ushabiki..hakuna hata mwenye ushahidi humu zaidi wote tunatoa hukumu kwa tulichosikia sio kushuhudia!😊😊..IKIWA UNAHISI WEWE HATA DIWANI AKIAMUA ANAWEZA KUKUPANGIA KESI & HUKUMU MAHAKAMANI..KAA KIMYA!!
 
Kuonekana lina Kesi ya Kujibu tu ni kwamba Mahakama ilijiridhisha ni Jambazi lakini haliwezi kuhukumiwa bila kupewa nafasi ya walau kujitetea,ile kuwekwa Kisongo tu tayari ni dalili kwamba ni Jambazi,leo kitavalishwa rasmi gwanda la Jela,hakika What Goes Around Comes Around
hii kitu imekaa vibaya sana kwa gaidi wenu, mark my words
 
Mbowe anafungwa tuombe tu Mungu na tuendelee kuwepo

Hukumu ya sabaya hii 30 na bado ana kesi nyingine je akiukumiwa Tena 30 maana yake 60 hapa Kuna harufu ya siasa .

Aliokuwa akifaya nao Kazi wamemzunguka na kumtosa!!

Ila nawashauri msije kujaribu kumfunga Mbowe kitanuka street wajeda lazima watakinukisha tu!!
kuna watu wajinga sana PGO tu imewashinda
 
Watu kwa kujifariji hamjambo, hamna kesi hapo, alihifadhiwa kwa usalama wake mwenyewe dhidi ya shambulio la kigaidi…
Vipi mkuu, unasemaje kuhusu hukumu ya mahakama ya miaka 30 dhidi ya kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha iliyomuangukia Sabaya!!?? Bado wameamua kumhifadhi kwa miaka 30 dhidi ya gaidi!?? Viboko wakili amemuombea viondolewe, na ombi limekubalika.
 
Hahahaa Sabaya atatoka na miaka 54 (34 + 20 (atatumikia 2 ya 3 ya miaka 30)] ,mimi napendekeza kesi zingine zinazikuja vifungo vyake visiende kwa pamoja yaani wavitenganishe ,akimaliza 54 zije za Ubakaji ,kutumia madaraka vibaya ,utakatishaji fedha ,mashambulio ya kudhuru mwili etc apigwe mvua kama 50 hivi ndio zinamtosha.
Mkuu king kong 3 unajua hakimu amempunja Sir Mbaya kutokana na makosa yake ...idadi ya makosa aliyonayo hayaendani na aliyonayo....
Sir Mbaya Ni jambazi sugu kile kifungo Ni kidogo.....hakimtoshi
 
Balaa yote kwa wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi tunajua nani kaleta. Kutuwekea mwenyekiti sio mwanamapinduzi. Mtu kapikwa huko na ma ngo mnampachika kuendesha mapinduzi. Anawaangalia wazungu kwa ushauri na zile hela walizokua wanampa kwenye ngo.
Hivi kweli kwa kazi aliyofanya sabaya hai utawezaje kuacha sabaya afungwe kwa ujambazi? Kwani serikali hii ya ccm siku zote kiongozi akikosea simnamuonya au simnamtoa? Yaani mliteua kiongozi jambazi? Shame on ccm ya hangaya. Ndio maana tumeona waadilifu na Phd zao wanatolewa wanawekwa wajuzi wa kupiga hela na mali ya umma.
Kafanya nn Cha maana huyo muhuni mpuuzi mkubwa....Kwhy Jpm ndio katiba yetu ....ujinga Watz tutaacha lini
 
Toka nje uanze kuwahesabu utaelewa

Ukiona mwanamke anatoroka na mtoto wenu jitafakari
Sister alikua chombo balaa nlikutana nae Loliondo DC alikua mkali saana kenge yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi jina mwanangu nlimpa AARON lile Punda ntalisaka maana liliniambia kwao ni Wilaya ya Meru DC
 
Back
Top Bottom