Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Mjinga huota ujinga. Lakini ndoto ya mjinga haina athari kwa wenye akili. Endelea kuota.
 
unafahamu akikutwa na hatia adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa?
Hata akinyongwa Hadi kufa,unajua umri wa Mbowe au ushabiki ndio shida hapa!!..Unajua kwanini watu wanasema Mbowe ni mshindi!!...Umeona historia yeyote kumhusu yenye viashiria vya uvunjifu wa Amani?!!..
 
Mmeua mmoja hapo, viambatisho vyenu kuna uwezekano mkubwa sana visipokelewe hata kimoja, sijui mtaenda simama na ushahidi gan mahakaman
Sipo upande wowote
Ila naangalia hyo kesi kwenye kipengele cha mbowe kujenga urafiki na wanajeshi.hyo ni mbaya Sanaa
 
Lini walikuwa na mbowe chadema?
Hapa tuna ongelea Mbowe sio Chadema nadhani husomi magazeti au kusikiliza taarifa za habari!!..Wewe ambae hujui kama Mbowe ana Ndugu wa Damu tena sio wawili ni wanajeshi kweli ajabu alafu Una shangaa kuwa na Marafiki wanajeshi!!
 
Sipo upande wowote
Ila naangalia hyo kesi kwenye kipengele cha mbowe kujenga urafiki na wanajeshi.hyo ni mbaya Sanaa
Yeye mwenyewe ana ndugu wapo huko

Sheria gani inayosema usiwe rafiki na mwanajeshi? Au unadhan mahakaman pale inaenda mitazamo?
 
Nimekuuliza lini walimsapoti kwenye harakati zake.unawaona wakienda mahakamani !?
Mbowe ni binadamu lakini kuna vitu ametuzidi sana hii kesi ni Kubwa lakini Ndogo sana!!!..Hebu Angalia jopo la wanasheria wake!!..Umejiuliza mabalozi wanaendaje kumsupport mtuhumiwa wa Ugaidi?!!..Au ulitaka Mabalozi na Ndugu zake watoe Tamko?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…