Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Mbowe ni binadamu lakini kuna vitu ametuzidi sana hii kesi ni Kubwa lakini Ndogo sana!!!..Hebu Angalia jopo la wanasheria wake!!..Umejiuliza mabalozi wanaendaje kumsupport mtuhumiwa wa Ugaidi?!!..Au ulitaka Mabalozi na Ndugu zake watoe Tamko?!!
Hakimu akigonga maisha Nani anaweza kupinga?
 
Kwa maana hiyo hukumu ya Sabaya imezingatia ushahidi uliotolewa au la?

Kama imezingatia ushahidi na si kingine nini maoni yako mleta mada ikiwa na kwa Mbowe watazingatia ushahidi?
 
We baki hivyo hivyo.
Kesi ngumu hyo.jambazi kala 30,gaidi atakula ngapi?
Umekubali Ndugu yenu Jambazi!!!..Mmeshindwa hata kumfundisha jinsi ya kijitetea?!!.. Gaidi Hadi Mahakama ikubali ushahidi wa Kingai na wenzake akiwepo Sabaya!!
 
Sasa kwanini atafute walinzi wanajeshi?
Hapa kuna watu wametengenezewa mchezo hebu kumbuka maelezo ya ofisa wa polisi kupewa taarifa na mtu ambae ni mwanajeshi kuhusu watu kupewa Kazi na Mbowe ya Ulinzi (Alafu imegeuka njama za ugaidi)
 
Hapa kuna watu wametengenezewa mchezo hebu kumbuka maelezo ya ofisa wa polisi kupewa taarifa na mtu ambae ni mwanajeshi kuhusu watu kupewa Kazi na Mbowe ya Ulinzi (Alafu imegeuka njama za ugaidi)
Mtu mwenyewe alie toa taarifa yuko ndani , walimkuta ndani na bado case yake haijaanza sikilizwa , na huko ndan hawa wajeshi/washtakiwa walimsaidia pia , waliiambia mahakama anateswa

Itakapoanza case kubwa utacheka ufe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katiba yako inakataza mwanajeshi aliekufuzwa asijitafutie kazi /kapato?

Inakataza mtu binafsi asiwaajiri??

Hebu jitahid usifanane na user name yako basi , utafanya upuuzwe wakat una akili timamu tu
Mwanajeshi ubaki kuwa mwanajeshi tu.hata akifukuzwa.ndo maana nasema nyie mnaona ni kesi ndogo.
Ila suala la wanajeshi kuingia kwenye kesi ya mbowe.kesi ishakuwa kubwa.
Na hapo ndipo watakapombana mbowe .
Watakuja kumwambia alitaka kinda jeshi la UASI KUPITIA HAO MAKAMANDA.
 
Mtu mwenyewe alie toa taarifa yuko ndani , walimkuta ndani na bado case yake haijaanza sikilizwa , na huko ndan hawa wajeshi/washtakiwa walimsaidia pia , waliiambia mahakama anateswa

Itakapoanza case kubwa utacheka ufe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Nchi ngumu hii!!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…