Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Kwamba mabaloz wanaenda msapot gaid?? Unaota sio?We baki hivyo hivyo.
Kesi ngumu hyo.jambazi kala 30,gaidi atakula ngapi?
Hamna case hapo n swala la kusumbuana tu kupotezeana muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mabaloz wanaenda msapot gaid?? Unaota sio?We baki hivyo hivyo.
Kesi ngumu hyo.jambazi kala 30,gaidi atakula ngapi?
Hakimu akigonga maisha Nani anaweza kupinga?Mbowe ni binadamu lakini kuna vitu ametuzidi sana hii kesi ni Kubwa lakini Ndogo sana!!!..Hebu Angalia jopo la wanasheria wake!!..Umejiuliza mabalozi wanaendaje kumsupport mtuhumiwa wa Ugaidi?!!..Au ulitaka Mabalozi na Ndugu zake watoe Tamko?!!
Katiba yako inasemaje kuhusu Jeshi na Police vs Siasa??Hao ndugu zake ulishawahi kuwaona walimsapoti kwenye harakati za chama?
Umekubali Ndugu yenu Jambazi!!!..Mmeshindwa hata kumfundisha jinsi ya kijitetea?!!.. Gaidi Hadi Mahakama ikubali ushahidi wa Kingai na wenzake akiwepo Sabaya!!We baki hivyo hivyo.
Kesi ngumu hyo.jambazi kala 30,gaidi atakula ngapi?
Mimi na wewe tunaweza kuona hamna kesi.ila wenyewe wanajua kesi ipo wapiKwamba mabaloz wanaenda msapot gaid?? Unaota sio?
Hamna case hapo n swala la kusumbuana tu kupotezeana muda
Sasa kwanini atafute walinzi wanajeshi?Katiba yako inasemaje kuhusu Jeshi na Police vs Siasa??
Mkuu, mbona akili yako inataka akisi user name yako??
Kama wanamsupport kwenye biashara na anapeleka baadhi ya fedha zake kuendesha chama unaonaje hapo?!!Hao ndugu zake ulishawahi kuwaona walimsapoti kwenye harakati za chama?
Wewe unataka ufundishwe vitu vingi?!!..Mara kwanini achukue walinzi wanajeshi kwahiyo sio Gaidi tena!!!Sasa kwanini atafute walinzi wanajeshi?
Sasa kwanini atafute walinzi wanajeshi.na kwanini asiwachukue ndugu zake wanajeshi akawafanya walinzi wake?Kama wanamsupport kwenye biashara na anapeleka baadhi ya fedha zake kuendesha chama unaonaje hapo?!!
Labda haujui kesi yake ilivyo.Wewe unataka ufundishwe vitu vingi?!!..Mara kwanini achukue walinzi wanajeshi kwahiyo sio Gaidi tena!!!
Hapa kuna watu wametengenezewa mchezo hebu kumbuka maelezo ya ofisa wa polisi kupewa taarifa na mtu ambae ni mwanajeshi kuhusu watu kupewa Kazi na Mbowe ya Ulinzi (Alafu imegeuka njama za ugaidi)Sasa kwanini atafute walinzi wanajeshi?
Katiba yako inakataza mwanajeshi aliekufuzwa asijitafutie kazi /kapato?Sasa kwanini atafute walinzi wanajeshi?
Wale aliochukua walikua wamefutwa kazi!!..Tena hata mikataba na Mbowe ilikua bado??!!..Hebu ona ajabu hiliSasa kwanini atafute walinzi wanajeshi.na kwanini asiwachukue ndugu zake wanajeshi akawafanya walinzi wake?
Haiwezekani hiyoHakimu akigonga maisha Nani anaweza kupinga?
Mtu mwenyewe alie toa taarifa yuko ndani , walimkuta ndani na bado case yake haijaanza sikilizwa , na huko ndan hawa wajeshi/washtakiwa walimsaidia pia , waliiambia mahakama anateswaHapa kuna watu wametengenezewa mchezo hebu kumbuka maelezo ya ofisa wa polisi kupewa taarifa na mtu ambae ni mwanajeshi kuhusu watu kupewa Kazi na Mbowe ya Ulinzi (Alafu imegeuka njama za ugaidi)
Mwanajeshi ubaki kuwa mwanajeshi tu.hata akifukuzwa.ndo maana nasema nyie mnaona ni kesi ndogo.Katiba yako inakataza mwanajeshi aliekufuzwa asijitafutie kazi /kapato?
Inakataza mtu binafsi asiwaajiri??
Hebu jitahid usifanane na user name yako basi , utafanya upuuzwe wakat una akili timamu tu
ndo maana nasema kitendo cha hao wanajeshi kuingia kwenye kesi ya mbowe.hyo kesi ishakuwa ngumu kwa mbowe.Wale aliochukua walikua wamefutwa kazi!!..Tena hata mikataba na Mbowe ilikua bado??!!..Hebu ona ajabu hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Nchi ngumu hii!!...Mtu mwenyewe alie toa taarifa yuko ndani , walimkuta ndani na bado case yake haijaanza sikilizwa , na huko ndan hawa wajeshi/washtakiwa walimsaidia pia , waliiambia mahakama anateswa
Itakapoanza case kubwa utacheka ufe [emoji23][emoji23][emoji23]