Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Umekunywa chai Ndugu mwandishiMwanajeshi ubaki kuwa mwanajeshi tu.hata akifukuzwa.ndo maana nasema nyie mnaona ni kesi ndogo.
Ila suala la wanajeshi kuingia kwenye kesi ya mbowe.kesi ishakuwa kubwa.
Na hapo ndipo watakapombana mbowe .
Watakuja kumwambia alitaka kinda jeshi la UASI KUPITIA HAO MAKAMANDA.
Wenzenu wameshatega mitego yao.na kesi wameisha imalizaHapa kuna watu wametengenezewa mchezo hebu kumbuka maelezo ya ofisa wa polisi kupewa taarifa na mtu ambae ni mwanajeshi kuhusu watu kupewa Kazi na Mbowe ya Ulinzi (Alafu imegeuka njama za ugaidi)
Ukifukuzwa kwenye Kazi yako utabaki kuwa mwajiriwa au Utaenda kutafuta Kazi nyingine?!!..Wewe upo kijiweni weweMwanajeshi ubaki kuwa mwanajeshi tu.hata akifukuzwa.ndo maana nasema nyie mnaona ni kesi ndogo.
Ila suala la wanajeshi kuingia kwenye kesi ya mbowe.kesi ishakuwa kubwa.
Na hapo ndipo watakapombana mbowe .
Watakuja kumwambia alitaka kinda jeshi la UASI KUPITIA HAO MAKAMANDA.
Tuombe UZIMA.Umekunywa chai Ndugu mwandishi
Mara hii Akitoka amshukuru Mungu?!!...Wewe DuhWenzenu wameshatega mitego yao.na kesi wameisha imaliza
Huo mchezo mbowe akitoka ashukuru MUNGU.
Huijui kazi ya majeshi wewe.Ukifukuzwa kwenye Kazi yako utabaki kuwa mwajiriwa au Utaenda kutafuta Kazi nyingine?!!..Wewe upo kijiweni wewe
Endelea kudanganya kijiweni huko!!..Ukifutwa Kazi ya Jeshi huwezi kwendelea na kazi za Jeshi!!....Ndio maana unaona wale wapo Mahakama ya kiraia!!..Uache uongo kwasababu ya ushabikiHuijui kazi ya majeshi wewe.
unapiga tu kelele hapa.
Wenzenu kesi wameishaimaliza ni anasubiriwa jaji tu apige nyundo yake
Kuna mtu kasema hawi mwanajeshi??Mwanajeshi ubaki kuwa mwanajeshi tu.hata akifukuzwa.ndo maana nasema nyie mnaona ni kesi ndogo.
Ila suala la wanajeshi kuingia kwenye kesi ya mbowe.kesi ishakuwa kubwa.
Na hapo ndipo watakapombana mbowe .
Watakuja kumwambia alitaka kinda jeshi la UASI KUPITIA HAO MAKAMANDA.
Akidakwa Daudi Bashite lazima Le mutuz cyprian Musiba nyaulingo Heri kisanduku na wenzao wadakwe kwani ndiyo watu alishirikiana nao kutenda uovu kwa watuNashangaa imekuwaje Bashite bado anapuyanga tu KITAA ,kwa ujambazi,dhuluma,mauaji aliyofanya ilitakiwa awe kwenye majengo ya serikali akila ugali wa bure.
Ni funzo pia kwa wanaotumika kufanya ugaidiMungu mkubwa sana jamani
Mimi sina shaka na hilo kama anahatia mahakama zitende haki tu .Mimi simtetei Sabaya wala Mbowe .Kilichopo sasa ni Sabaya kahukumiwa ndugu zangu WAMACHAME tumeipata kwa kweli kwa huyu DC .Mbona waliokuwa MaDC huko kwingine hawakuwa wanafanya haya? na hata Mbowe mbona wenyeviti wengine hawafanyi hayo.Mimi kuhusu Mbowe siyajui sana kwa sababu hayakuni affect direct ,zaidi ya wakuu wa nchi walioyaona hayo.Mbowe yeye anatuhumiwa kupanga mipango miovu ya kuvuruga AMANI YA nchi.
sasa wewe jiulize mtu anaye taka kuvuruga amani ya nchi unajua madhara yake ni makubwa kiasi gani?! ni hatari kubwa sana na kama akikutwa na hatia anastahili adhabu kali zaidi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine wanao jaribu kuchezea amani ya nchi
yaani huwezi kulinganisha makosa ya unyanganyi na makosa ya mbowe ya kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi.
Iwe raha pia bwana yule atakapopewa mvua ya miaka 30 jela kwa ugaidiJamani leo raha[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]
Ni Ngumu sana!!!... reference ya kesi hii ya Sabaya unaweza kukupa mwisho wa MboweIwe raha pia bwana yule atakapopewa mvua ya miaka 30 jela kwa ugaidi
Daud Bashite na Polisiccm ni marafikiBado Bashite maana wote ni MAJAMBAZI.
Njoo ukalie muhogo wewe faggot.Manka umekalia ndizi ya mbege hapo usseri!
Tunaomba picha ya mchumba wake Mh.Sabsya…..na viboko 12, Sita akiingia na Sita akitoka…. akamwoneshe mkewe [kama atamkuta japo tutamtafuna sana].
Bashite alikwenda Dodoma akiwa na akina Heri kisanduku nyaulingo cyprian Musiba le mutuz kumshambulia Tundu lisu inashangaza mpaka sasa Daudi Bashite yupo huruAcha tu ,hao wapuuzi wameumiza sana watu ,BASHITE inabidi na yeye akamatwe maana vitu alivyofanya ni zaidi ya alivyofanya SABAYA.
Mwanajeshi msitaafu huwa yupo huru kuajiriwa popote pale, alichokifanya Sabaya kule Moshi kwa walinzi wa mbowe ndiyo ugaidi, Polisiccm akina mahita kingai ndiyo waliwafanyia ugaidi walinzi wa mbowe ambao walikuwa wageni moshi hawakuwa wakijua ugaidi wowote zaidi ya Ulinzi kwa mbowe mwenyeweKatiba yako inakataza mwanajeshi aliekufuzwa asijitafutie kazi /kapato?
Inakataza mtu binafsi asiwaajiri??
Hebu jitahid usifanane na user name yako basi , utafanya upuuzwe wakat una akili timamu tu
Wanajeshi kibao waliofukuzwa kazi wanafanya kazi kwenye makampuni ya ulinzi...Kuna mtu kasema hawi mwanajeshi??
Nimekuuliza, ni kipengele kipi cha katiba au Sheria kinacho kataza mwanajeshi aliekufuzwa asijitafutie kazi/kipato au asiajiriwe na mtu binafsi?
Sheria ipi au kifungu gani cha katiba?