Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Umekunywa chai Ndugu mwandishiMwanajeshi ubaki kuwa mwanajeshi tu.hata akifukuzwa.ndo maana nasema nyie mnaona ni kesi ndogo.
Ila suala la wanajeshi kuingia kwenye kesi ya mbowe.kesi ishakuwa kubwa.
Na hapo ndipo watakapombana mbowe .
Watakuja kumwambia alitaka kinda jeshi la UASI KUPITIA HAO MAKAMANDA.