Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Aangalie tu asiiname kuokota sabuni maana siku hizo mmmmmh! Zahitaji mkono wa mungu.
 
Rudia kauli tena[emoji35]
 
Malipo ni hapa hapa duniani hii nii funzo kubwa mno kwa wale wote wanaopewa vyeo na kutumia madaraka yao vibaya kutesa raia.
Mwambieni na hicho kibibi chenu kuwa kisijione kimwamba muda upo kitakimbilia kwao Oman mnfssss!
 
Vip hukumu ishatoka au bado mkuu
 

Na hii nyingine anakula tena miaka 30 iwe fundisho kwako uache kuwa chawa wa wahalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…