Super Msouth
Senior Member
- Dec 28, 2014
- 134
- 121
Unafiki mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia kauli tena[emoji35]Atapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.
Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.
hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..
Hukumu yake naifahamu.
Mwambieni na hicho kibibi chenu kuwa kisijione kimwamba muda upo kitakimbilia kwao Oman mnfssss!Malipo ni hapa hapa duniani hii nii funzo kubwa mno kwa wale wote wanaopewa vyeo na kutumia madaraka yao vibaya kutesa raia.
Vip hukumu ishatoka au bado mkuuAtapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.
Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.
hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..
Hukumu yake naifahamu.
Atapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.
Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.
hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..
Hukumu yake naifahamu.