wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,143
Mahakama huru?!
Kimya kabisa14:36 hadi muda huu hakuna update ya kilichojiri.
Kwani gaidi nae wamemlainisha?Kule gelezani atakutana wa watemi wenzake, siku 3 msosi wa kibaba ili alainike kwanza dadadeq.
Utakua lini?Miaka karibu nane jukwaani lakini bado unastep this low!!!?Kwani gaidi nae wamemlainisha?
Mahakama na maadili ya utumishi wapi na wapi?Update !
huku imetoka :sabaya kufungwa mwaka mmoja kwa utovu wa nizamu ya maadili ya utumishi au kulipa milioni na kitu.
kachagua kulipa !
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].asanteni
Utakua lini?Kwani gaidi nae wamemlainisha?
Hata akiachwa huru leo hawezi kutoka bado ana kesi ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.Kwa aina ya Ulinzi uliopo unaleta picha gani?
Binafsi naona upo kwaajili ya Wananchi watakao chukizwa na maamuzi ya Mahakama kwa kumpa Mtuhumiwa Ole nafasi kubwa ya kuwa Uraiani sk za karibuni au leo leo!
Wasidhubutu kufanya Mihemko yyte ya kuchukizwa na Aina yyte ya Hukumu.... Ila ukweli uko wazi Ole alikuwa Ni Jambazi na wakimuachia uraiani watakuwa wamemkaribisha kuja kufunzwa na Ulimwengu
Duuuh! Jambazi anahukumiwa hiviUpdate !
huku imetoka :sabaya kufungwa mwaka mmoja kwa utovu wa nizamu ya maadili ya utumishi au kulipa milioni na kitu.
kachagua kulipa !
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].asanteni