Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

aaa wazee, masuala ya kunawishana afu msosi hauji so vizuri hiyo..!!
 
Kwa aina ya Ulinzi uliopo unaleta picha gani?

Binafsi naona upo kwaajili ya Wananchi watakao chukizwa na maamuzi ya Mahakama kwa kumpa Mtuhumiwa Ole nafasi kubwa ya kuwa Uraiani sk za karibuni au leo leo!

Wasidhubutu kufanya Mihemko yyte ya kuchukizwa na Aina yyte ya Hukumu.... Ila ukweli uko wazi Ole alikuwa Ni Jambazi na wakimuachia uraiani watakuwa wamemkaribisha kuja kufunzwa na Ulimwengu
 
Update !
huku imetoka :sabaya kufungwa mwaka mmoja kwa utovu wa nizamu ya maadili ya utumishi au kulipa milioni na kitu.
kachagua kulipa !

[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].asanteni
Mahakama na maadili ya utumishi wapi na wapi?
 
Kwa aina ya Ulinzi uliopo unaleta picha gani?

Binafsi naona upo kwaajili ya Wananchi watakao chukizwa na maamuzi ya Mahakama kwa kumpa Mtuhumiwa Ole nafasi kubwa ya kuwa Uraiani sk za karibuni au leo leo!

Wasidhubutu kufanya Mihemko yyte ya kuchukizwa na Aina yyte ya Hukumu.... Ila ukweli uko wazi Ole alikuwa Ni Jambazi na wakimuachia uraiani watakuwa wamemkaribisha kuja kufunzwa na Ulimwengu
Hata akiachwa huru leo hawezi kutoka bado ana kesi ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.
 
Update !
huku imetoka :sabaya kufungwa mwaka mmoja kwa utovu wa nizamu ya maadili ya utumishi au kulipa milioni na kitu.
kachagua kulipa !

[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].asanteni
Duuuh! Jambazi anahukumiwa hivi
 
Back
Top Bottom