Mukua
Senior Member
- Sep 30, 2021
- 157
- 203
Kwa kitendo Cha kumshughulikia Sabaya , imetupa faraja na kuona ni jinsi gani ulivyokua unaumia kwa maovu wanayo tendewa watanzania.
Sabaya alijisahau Sana , wenzake Kama makonda na Gambo walishtuka na kutaka kujichomoa, Ila wapo wakamatwe wakaeleze kwanini waliwatesa wananchi, pia Muro, Hapi, na yule mwehu au sijui kuwa ni kichaa Chalamila pia wakatwe.
Huyu Humphrey yeye aulizwe kwanini alihusika kwa kiwango kikubwa ku inajisi katiba ya nchi hii.