MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Kama umeangalia video za mauji watu hawakuvunjia moyo kabisa licha ya watu kuwa wamekufa mbele yao... Waliendelea kuimba nyimbo za uzalendo, hawa watu wamekosa kitu kimoja tu nacho ni Nyenzo.Mkuu taratibu, calm down...kuleta tena Waasi?🙆
Uasi ni endelevu tarehe 29 ni mwanzo wa Tanzania mpya na mwanzo wa mwisho wa Muungano tuliotarajia udumuIliyofanyika siyo maandamano ni jaribio la Uasi lililofeli, ukishachoma vituo vya mafuta, polisi, kuripua magari kwa moto huo ni ugaidi moja kwa moja.
Hakuna haja ya kwenda msituni, Tanzania ina vijana wa kutosha now ni kupeleka ajira nyingi DodomaNaogopa nasikiliza tiktok vijana wanataka kuingia maituni jamani viongozi rudisheni taifa tuwe wamoja tafadhali achen kiburi
Safari hii hatakufa tena mtu aise na hatia safari hii mtakufa nyie vibaka mnaovunja maduka ya watu na kuchoma vituo vya mafuta huku mkijiita waandamanaji wa amani kumbe vibaka watupuUasi ni endelevu tarehe 29 ni mwanzo wa Tanzania mpya na mwanzo wa mwisho wa Muungano tuliotarajia udumu
Kwa nini safiri hii walikufa watu wasio na hatia?Safari hii hatakufa tena mtu aise na hatia safari hii mtakufa nyie vibaka mnaovunja maduka ya watu na kuchoma vituo vya mafuta huku mkijiita waandamanaji wa amani kumbe vibaka watupu
Kwasababu wewe Nyumbu muoga ulihamasisha vurugu alafu ukabaki kujificha uvunguni, ukawaponza na wasio na hatia vinginevyo sahivi ungekua kaburiniKwa nini safiri hii walikufa watu wasio na hatia?
Safari hii waandamanaji wataenda Ikulu na Bunduki.Safari hii hatakufa tena mtu aise na hatia safari hii mtakufa nyie vibaka mnaovunja maduka ya watu na kuchoma vituo vya mafuta huku mkijiita waandamanaji wa amani kumbe vibaka watupu
Kabla hujashika bunduki wewe na kizazi chako mtafutwa wote hadi mtoto wako mwenye siku 1 dunianiSafari hii waandamanaji wataenda Ikulu na Bunduki.
This time kulikuwa na debate sana kuhusu haja ya kuchukua silaha za vituo vya Polisi au namna gani, kuelekea maandamano yajayo Silaha nyingi zitapotea.
Na Elimu ya Siasa na Uraia inahamia Jeshini, CCM wenyewe ndio mlipeleka Elimu kila kata na kupeleka vijana JKT, wale wote walioko vyuoni wataanza kupata maelekezo ya kuunda Silaha na kuzitumia, kupitia tiktok, YouTube n.k
kwaiyo mtahakikisha wageni ndo wanakufa tu kama mliowaua kwenye miji yao..ila hawa wagen mliowaua mmetuokoa watz maana wagen walitaka kupndua nchi kbs watz tumepga kura mil 32 na samia kashnda kwa 98% hatujaandamana kbs.Safari hii hatakufa tena mtu aise na hatia safari hii mtakufa nyie vibaka mnaovunja maduka ya watu na kuchoma vituo vya mafuta huku mkijiita waandamanaji wa amani kumbe vibaka watupu
Kama hujaandamana vizuri ila kama unataka iage familia yako mapemakwaiyo mtahakikisha wageni ndo wanakufa tu kama mliowaua kwenye miji yao..ila hawa wagen mliowaua mmetuokoa watz maana wagen walitaka kupndua nchi kbs watz tumepga kura mil 32 na samia kashnda kwa 98% hatujaandamana kbs.
Nyie ni Wajinga mlioifikisha Tanzania hapa...Kabla hujashika bunduki wewe na kizazi chako mtafutwa wote hadi mtoto wako mwenye siku 1 duniani