Lengo kuu la Maandamano lilifanyika, Hatua Ijayo ni Uasi

Lengo kuu la Maandamano lilifanyika, Hatua Ijayo ni Uasi

Naogopa nasikiliza tiktok vijana wanataka kuingia maituni jamani viongozi rudisheni taifa tuwe wamoja tafadhali achen kiburi
Watauawa kama kuku aseee nawaonea hurumaaa mana hapo sio raia tena ni waasi
 
Iliyofanyika siyo maandamano ni jaribio la Uasi lililofeli, ukishachoma vituo vya mafuta, polisi, kuripua magari kwa moto huo ni ugaidi moja kwa moja.
Freedom fighters popote duniani ni "terrorist"-Hamas,ANC,Mau Mau to name a few.
 
wanavyosema Abdull na jamaa yake wa Zimbabwe na Angela kizinga sijui wanauza Silaha,bado kwako hii itakua fursa..maana kila mtu ninae ongea nae anauliza namna ya kununua Silaha Darkweb...nchi hii tayari sio mahala salama kwa vizazi vijavyo..

Tulikua tunafikiri Tanzania nchi Special sana tukiangalia Tv yanayotokea Sudan,Congo, Sierra Leone nk..,
Kwa jinsi watu walivyouawa km panzi bila kuwa na hata silaha ya kisu cha kukatia nyanya,, mi naona tuzitafute tu hizo silaha,,

Hebu fikiria endapo ingetokea hata raia mmoja tu akawa nayo hiyo smg angedondosha wangapi hao mbwa wauaji waliotumwa na huyo changudoa? Kidogo mzani ungebalance
 
Af watu wajue, Gen Z wengi tulioko mtaanni tunajua kutumia silaha. Siku Tukipata nyenzo walah tutakichafua
 
Naogopa nasikiliza tiktok vijana wanataka kuingia maituni jamani viongozi rudisheni taifa tuwe wamoja tafadhali achen kiburi
Waingie tu huko msituni ili tuheshimiane. Dharau zimezidi sana ndani ya hii nchi. Watawala wamejigeuza miungu watu, na wanawaona raia kama manyani tu.
 
Iliyofanyika siyo maandamano ni jaribio la Uasi lililofeli, ukishachoma vituo vya mafuta, polisi, kuripua magari kwa moto huo ni ugaidi moja kwa moja.
Samiamwenyewe kaingia madarakani kwa uasi.

Hakuna uchaguzi uliofanyika.
 
Kabla hujashika bunduki wewe na kizazi chako mtafutwa wote hadi mtoto wako mwenye siku 1 duniani
Unaonekana dhaifu sana mwenye maneno mengi ya ujasiri.

Debe tupu.

Una undugu na Chalamila? Watu wafupi mna ujasiri sana.
 
Back
Top Bottom