Chakubanga22
Senior Member
- Nov 13, 2021
- 192
- 359
9/12/2025
Unasema kweliNaogopa nasikiliza tiktok vijana wanataka kuingia maituni jamani viongozi rudisheni taifa tuwe wamoja tafadhali achen kiburi
Maandamano mengine au ?9/12/2025
Lucha sisi wote ni watanzania na km wote ni watanzania usikubali hata siku moja kuona mwenzako hana haki ya kudai jambo lolote ktk nchi yake na km hilo analo lidai halina mashiko ama linamashiko hua linatakiwa limalizike kwa maridhiano .. Lakini ubabe na mabavu hayawezi kutuleta pamoja. Ww unacheka na kuona watu walio kufa wamejitakia ila umeona shida tulipata wote. Tusibeze watu kisa tunakula na kushiba na kupenda madaraka ... Moyo umejaa mengi ila wenye dhamana hawataki kusikilizaIliyofanyika siyo maandamano ni jaribio la Uasi lililofeli, ukishachoma vituo vya mafuta, polisi, kuripua magari kwa moto huo ni ugaidi moja kwa moja.
Pigia mstariMaandamano mengine au ?
niage nn wakati samia na nyie ccm mnasema waandamanaji ni wageni toka nje na ndo mmeaua hakuna mtz aliyeandamana wala kuuwawa sa naaga kwenda wp wkt mnasema watz hawajaandamana na hawataandamana.Kama hujaandamana vizuri ila kama unataka iage familia yako mapema
Unadai haki huku unavunja haki ya mtu mwingine? Unadai haki huku unachoma lory lilibeba mbao bila sababu? Unadai haki unavunja na kuiba mali za watu? Unachoma magari ya watu ndo haki hiyo?Lucha sisi wote ni watanzania na km wote ni watanzania usikubali hata siku moja kuona mwenzako hana haki ya kudai jambo lolote ktk nchi yake na km hilo analo lidai halina mashiko ama linamashiko hua linatakiwa limalizike kwa maridhiano .. Lakini ubabe na mabavu hayawezi kutuleta pamoja. Ww unacheka na kuona watu walio kufa wamejitakia ila umeona shida tulipata wote. Tusibeze watu kisa tunakula na kushiba na kupenda madaraka ... Moyo umejaa mengi ila wenye dhamana hawataki kusikiliza
Ilikuwaje tukafika hapo? Nani kasabisha, nini kilitakiwa kufanyika, nini kifanyike sasa?Unadai haki huku unavunja haki ya mtu mwingine? Unadai haki huku unachoma lory lilibeba mbao bila sababu? Unadai haki unavunja na kuiba mali za watu? Unachoma magari ya watu ndo haki hiyo?
Chura kiziwi anasema waliofanya uasi ni wageni kutoka nje ya mipaka ya Tanzania. Kwa mantiki ya kauli yake anamaanisha watanzania walifanya tu maandamano. Apambane tu na ujinga wake wa kuropokaropoka ila watanzania tumeisha sema hatumtaki!Iliyofanyika siyo maandamano ni jaribio la Uasi lililofeli, ukishachoma vituo vya mafuta, polisi, kuripua magari kwa moto huo ni ugaidi moja kwa moja.
Imagine kuna mtu awaunga mkono CCM
Japokuwa sipendi yatokee, mpasuko utakuwa mkubwa mno, then patainuka makundi ya kulipa kisasi.Kama umeangalia video za mauji watu hawakuvunjia moyo kabisa licha ya watu kuwa wamekufa mbele yao... Waliendelea kuimba nyimbo za uzalendo, hawa watu wamekosa kitu kimoja tu nacho ni Nyenzo.
Angalia video za Gaza, angalia ile Jamii yao ni kama watu waliokuwa wanawasaidia waliokufa au kujeruhiwa
Hakuna haja ya kwenda msituni vijana wako kila mji Tanzania.Mki ingia msituni tuta wafata uko uko tuwapige kama ngoma
wanavyosema Abdull na jamaa yake wa Zimbabwe na Angela kizinga sijui wanauza Silaha,bado kwako hii itakua fursa..maana kila mtu ninae ongea nae anauliza namna ya kununua Silaha Darkweb...nchi hii tayari sio mahala salama kwa vizazi vijavyo..Kama umeangalia video za mauji watu hawakuvunjia moyo kabisa licha ya watu kuwa wamekufa mbele yao... Waliendelea kuimba nyimbo za uzalendo, hawa watu wamekosa kitu kimoja tu nacho ni Nyenzo.
Angalia video za Gaza, angalia ile Jamii yao ni kama watu waliokuwa wanawasaidia waliokufa au kujeruhiwa
Hawajasikilizwa .... Wangesikilizwa wala haya yote yasingetokea. Nikuambie kitu mm ni mtu mzima watanzania tunajuana mpaka imefikia hukusababu ni kiburi cha viongozi.Nikushauri acha mihemko ipende nchi yako sio kutetetea uonevu. Kwenye maandamano kuna ndugu zetu wamekufa hata hawakua wanaandamana sasa ww usijione uko salama kisa uko na ulinzi. Hebu hekima zitawale hivi viburi vya kuoma nyinyi ndo mnahaki sana mnatoa wapiUnadai haki huku unavunja haki ya mtu mwingine? Unadai haki huku unachoma lory lilibeba mbao bila sababu? Unadai haki unavunja na kuiba mali za watu? Unachoma magari ya watu ndo haki hiyo?
*** huyoMkuu taratibu, calm down...kuleta tena Waasi?🙆
Vijana sasa hawaogopi kufa... hayo ni mafanikio*** huyo