Lengu kuu la kuanzisha hifadhi ile ni lipi? Kuna watalii ambao huwa wanaenda kule kutalii?
Sehemu ya utalii.Sijajua viability yake ila kipi kinaanza Watalii au Sehemu ya Kutalii ?
Wakubwa zangu habari ya majukumu?
Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tz Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa chuo cha MWEKA ambao wamepelekwa kwenda kufanya utafiti kule hifadhini, kiuhalisia mpaka sasa naona vijana wa watu wamepelekwa kuteseka kule. Lengo kuu la kuanzisha hifadhi ile ni lipi? Kuna watalii ambao huwa wanaenda kule kutalii?
Kwa akili yangu najua ni sehemu ya kutalii, ila kwa hali ya Burigi-Chato ilivyo inawezekana watalii wakaenda kule? Na wakienda wanaenda kuangalia nini maana kuna mwanafunzi ameeleza wanyama walioko kule wanahofu ya kuwindwa muda wote wakiona watu ni mbioooo.Sijajua viability yake ila kipi kinaanza Watalii au Sehemu ya Kutalii ?
Ile mbuga ilikuwapo siku nyingi sana hata kabla ya uhuru, kilichofanyika ni kuitangaza ijulikane tu; siyo kuwa ilianzishwa majuzi tu.Wakubwa zangu habari ya majukumu?
Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tz Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa chuo cha MWEKA ambao wamepelekwa kwenda kufanya utafiti kule hifadhini, kiuhalisia mpaka sasa naona vijana wa watu wamepelekwa kuteseka kule. Lengo kuu la kuanzisha hifadhi ile ni lipi? Kuna watalii ambao huwa wanaenda kule kutalii?
Sijajua kama nilivyosema sijafanya upembuzi yakinifu huenda alihujumu uchumi..., au huenda kabla ya kuongeza hifadhi angeboresha zilizopo (ila hakuna kinachoshindikana hata kuna watu waliamua kujenga mahoteli kwenye jangwa....) Leo ndio Las VegasKwa akili yangu najua ni sehemu ya kutalii, ila kwa hali ya Burigi-Chato ilivyo inawezekana watalii wakaenda kule?
Hiyo sio sababu kwani mbuga Moshi ama Arusha zina mchango mdogo sana kwenye utalii.Lengo lilikuwa
1. 'kama kuna hifadhi Moshi na Arusha why not Chato'?
2. Kama hifadhi ndio zinawatia kiburi hawa ma mangi subiri sasa tuone, ngoja na sisi tuwe nazo.
Ujinga mtupu!
Huko kwenye Las Vegas mkuu umeenda miles nyingi sanaaaa kaka yangu hali yetu huku kwetu tunaijua.Sijajua kama nilivyosema sijafanya upembuzi yakinifu huenda alihujumu uchumi..., au huenda kabla ya kuongeza hifadhi angeboresha zilizopo (ila hakuna kinachoshindikana hata kuna watu waliamua kujenga mahoteli kwenye jangwa....) Leo ndio Las Vegas