Lengo la kuanzisha hifadhi ya Burigi - Chato lilikuwa ni nini?

Burigi kwa asilimia kubwa iko biharamulo ,muleba na karagwe sasa kuita burigi chato duu
Ubishi kuhusu matumizi ya majina ya ama Biharamulo au Chato siyo jambo la msingi, bali issue ni uwepo wa mbuga yenyewe. Mbuga hiyo ilikuwapo kama vile ile mbuga ya mikumi (iliyopewa jina la Nyerere) ilivyokuwapo ila katika effort ya kuongeza maeneo ya kuvutia utalii ndipo zimekuwa upgraded. Eneo hilo karibu na Chato kuna kisiwa fulani kinaitwa Lubondo ambacho ni kwa ajili ya wanyama pori tu, hakuna binadamu anayeruhusiwa kuishi pale nadhani tangu tupate uhuru. Mbuga kama Gombe siyo kubwa sana ya kulinganisha na hiyo ya Burigi lakini kwa ajili ya sokwe mtu, imetunzwa kama kivutio cha utalii ; mbuga ya Burigi inatofautiana pia na mbuga nyingine nyingi kwa kuwa na mamba wengi, jambo ambalo linaweza kuwa kivutio cha utalii. Tukubali kuendelea kufungulia mianya ya utalii.

Ku-upgrade mbuga zetu kuzisogeaza kwenye level ya kuwa vivutio vya utalii sioni kama ni tatizo.
 
Samahani lakini blaza ficha ujinga wako. Wewe siyo mwenyeji pekee wa hii nchi hayo maeneo unayoyaandikia hapa yana wenyeji ambao pia wanashangaa imekuwaje?
Acha siasa za kipumbavu kwenye mambo ya maana.Kwa hiyo kuongeza chanzo Cha utalii ni kosa.
 
Ubishi kuhusu matumizi ya majina ya ama Biharamulo au Chato siyo jambo la msingi, bali issue ni uwepo wa mbuga yenyewe. Mbuga hiyo ilikuwapo kama vile ile mbuga ya mikumi (iliyopewa jina la Nyerere) ilivyokuwapo ila katika effort ya kuongeza maeneo ya kuvutia utalii ndipo zimekuwa upgraded. Eneo hilo karibu na Chato kuna kisiwa fulani kinaitwa Lubondo ambacho ni kwa ajili ya wanyama pori tu, hakuna binadamu anayeruhusiwa kuishi pale nadhani tangu tupate uhuru. Mbuga kama Gombe siyo kubwa sana ya kulinganisha na hiyo ya Burigi lakini kwa ajili ya sokwe mtu, imetunzwa kama kivutio cha utalii ; mbuga ya Burigi inatofautiana pia na mbuga nyingine nyingi kwa kuwa na mamba wengi, jambo ambalo linaweza kuwa kivutio cha utalii. Tukubali kuendelea kufungulia mianya ya utalii.

Ku-upgrade mbuga zetu kuzisogeaza kwenye level ya kuwa vivutio vya utalii sioni kama ni tatizo.
Lengo la jpm lilikuwa na nia ovu ya kupromote chato badala ya burigi,other wise ingebaki na jina lake la asili tu la burigi
 
Ilikuwa pori/mbuga kama sio hifadhi ya akiba ila kwa sasa ni hifadhi kamili.
Huoni matumizi ya hakili ktk hilo?, nmewahi kupita ktk pori hilo swala na wanyama wengine walisimama kando ya barabara kama ilivo kwa mikumi nk... kujiongeza pia ni jambo la kheri.
 
Mnaobeza hiyo hifazi hamjui HISTORIA ya Hilo Poli.Poli la Burigi Lina wanyama Toka enzi na enzi Kuanzia tembo,Simba ,chui nk.Yani JPM kuongeza chanzo Cha mapato katika nchi yetu imekua bingwa? Achenu wivu ndugu zangu.Hiyo hifazi imeanza na bado no change lakin mbeleni italeta faida kubwa hivo msilete siasa kwenye ishu za maana.
Inaitwa hifadhi na siyo ''hifazi''. Na neno sahihi ni pori na siyo ''poli''.
 
Wakubwa zangu habari ya majukumu?
Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tz Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa chuo cha MWEKA ambao wamepelekwa kwenda kufanya utafiti kule hifadhini, kiuhalisia mpaka sasa naona vijana wa watu wamepelekwa kuteseka kule kwa sababu wanyama hakuna na kuna mwanafunzi kaelezea kuwa wanyama wakiona watu wanakimbia kwa hofu ya kuwindwa. Lengo kuu la kuanzisha hifadhi ile ni lipi? Kuna watalii ambao huwa wanaenda kule kutalii?
Aulizwe kigwangala maana alisapoti huu ujinga
 
Lengo la jpm lilikuwa na nia ovu ya kupromote chato badala ya burigi,other wise ingebaki na jina lake la asili tu la burigi
Kwani jina la Burigi lilibadilishwa kuwa Chato? nadhani waliongezea tu kuwa Burigi-Chato huenda (sina uhakika) kuwa na mamlaka moja tu ya kusimamia Burigi pamoja na kile kisiwa cha Lubondo ambacho kiko Chato.
 
Haijabadishwa jina ila ameongeza neno chato mbele .trust me watu wa biharamulo wanaona wameporwa hifadhi yao
 
Ilikuwa harakati za kuifanya Chato iwe mkoa na hatimaye kuwa jiji la kitalii na kibiashara
 
lengo baada ya kustaafu iwe sehemu yakula pension na wanyama nakupoteza mawazo
lazima wawe karb na nyumban hatutaki usumbufu
 
Hiyo sio sababu kwani mbuga moshi ama arusha zina mchango mdogo sana kwenye utalii.

85% ya watalii wanaokuja Tanzania hua wanakuja kwa ajili ya Serengeti na hao 15% ndio mbuga nyingine zote.

So hiyo sio sababu.
Kilimanjaro mountain ndiyo mbuga ya pili kwa kuingiza mapato mengi nchini baada ya Ngorongoro. Acha porojo
 
Lengo lilikuwa

1. 'kama kuna hifadhi Moshi na Arusha why not Chato'?
2. Kama hifadhi ndio zinawatia kiburi hawa ma mangi subiri sasa tuone, ngoja na sisi tuwe nazo.

Ujinga mtupu!
Aiseeeee !!!
 
Zilikuwa hila tu za mwendazake

Back
Top Bottom