joe78
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 315
- 356
Haikua mbuga,ni pori la akiba kama mapori mengine ya akiba.Kama ni mbuga,tunazo nyingi na nyingine Hazina tija kwakua tumeshindwa kuzitangaza.Ile mbuga ilikuwapo siku nyingi sana hata kabla ya uhuru, kilichofanyika ni kuitangaza ijulikane tu; siyo kuwa ilianzishwa majuzi tu.