Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Ibilisi alikuwa anataka wanyama waliohamishiwa huko watorokee Rwanda kwao na akafaulu , Rwanda wamepata wanyama wa bure na tilioni saba za Tanzanite alizozulumiwa na tolu ,Rwanda Oyee ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapato yanakusanywa tatizo labda hayajafikia viwango vya juuAhsante ila mpaka sasa hayo malengo tajwa yamefikiwa au kukaribiwa?
Soma taarifa za serikali kwanza kabla hujabisha. Usibishe tu kuonekana na wewe unabisha, ni dalili za mtindio wa ubungo.Kilimanjaro mountain ndiyo mbuga ya pili kwa kuingiza mapato mengi nchini baada ya Ngorongoro. Acha porojo
Leta hizo taarifa.Soma taarifa za serikali kwanza kabla hujabisha. Usibishe tu kuonekana na wewe unabisha, ni dalili za mtindio wa ubungo.
Serengeti haiko Kanda ya KaskaziniKanda ya kaskazini ilitakiwa ibaki jangwa au mmesahau
Wakubwa zangu habari ya majukumu?
Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tz Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa chuo cha MWEKA ambao wamepelekwa kwenda kufanya utafiti kule hifadhini, kiuhalisia mpaka sasa naona vijana wa watu wamepelekwa kuteseka kule kwa sababu wanyama hakuna na kuna mwanafunzi kaelezea kuwa wanyama wakiona watu wanakimbia kwa hofu ya kuwindwa.
Lengo kuu la kuanzisha hifadhi ile ni lipi? Kuna watalii ambao huwa wanaenda kule kutalii?
Hata Mimi siamini km ilikua binadamu mwenzetu sasa huko motoni kutakua na msuguano mkali kati yake na shetani kila mmoja akimutupia lawama mwenzie maana wote ni watataMagufuli alikuwa sheitwani kabisa
Jamaa alikuwa juha sanaKumridhisha Kayafa mpenda misifa ya kijinga
Ahahaha.Hata Mimi siamini km ilikua binadamu mwenzetu sasa huko motoni kutakua na msuguano mkali kati yake na shetani kila mmoja akimutupia lawama mwenzie maana wote ni watata
Sawa blaza japo lengo langu la kuanzisha uzi silo ulilobainisha kwenye comment yako ndefu.Mwandishi wa hili bandiko ni mnafiki sana kama baadhi ya hao ndg zako wachangiaji.
Umeandika mambo manne na katikati unachanganya watu, kinafiki, kama ulikuwa hujui kitu bora ungeuliza swali moja kama lililobeba heading.
a)Umesema hujui lengo la kuanzishwa hifadhi ya Burigi-Chato.
b)Kuna wanafunzi wanapelekwa kufanya tafiti.
c)Hakuna wanyama huko Burigi-Chato.
d) Wanyama wakiona watu wanakimbia kisa wanaogopa kuwindwa.
UNAFIKI WAKO 👇🏾...
Sasa kama hakuna wanyama, hao wanyama ambao wanakimbia kwa kuogopa binadamu ni 🐦 ndege?
Although Mweka ni chuo cha usimamizi wa wanyamapori ambacho kilianzishwa ili kutoa elimu jinsi ya kusimamia rasilimali hiyo kuntu pia kinatoa diploma nyingine za utalii.
Utafiti ni chanzo cha kujua tatizo na kulitatua na kuweka uwiano utakaofaa kwa eneo husika, so unatuletea mapicha kama wachangiaji wenzako kwa kumnanga Magufuri kwa kuanzisha hiyo hifadhi.
Hiyo siyo sahihi, mnapoanzisha mada muwe specific eneo unalotaka kuelezea siyo kutuchanganya kwa kutafuta ubaya, acha unafiki dogo.
Wakubwa zangu habari ya majukumu?
Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tanzania Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa Chuo cha Mwika ambao wamepelekwa kwenda kufanya utafiti kule hifadhini, kiuhalisia mpaka sasa naona vijana wa watu wamepelekwa kuteseka kule kwa sababu wanyama hakuna na kuna mwanafunzi kaelezea kuwa wanyama wakiona watu wanakimbia kwa hofu ya kuwindwa.
Lengo kuu la kuanzisha hifadhi ile ni lipi? Kuna watalii ambao huwa wanaenda kule kutalii?
Jamaa alikuwa ajitaka jambo lake hajali wangapi wataumiaTatizo ukikumbuka hata mbio zake za kisiasa jamaa Biharamulo wakati ni Jimbo walimkataa kabisa I guess it was 1990.
Mjinga sana ana visasi na hiyo sio tabia ya mtanzania huyu lazima yanayosemwa ni kweli maana hata babake hatujui alizikwa wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Justification ya uwanja wa ndege wa Chato!?
Ushamba mzigo sana. Si unakumbuka waliweka mpaka taa za barabarani kule!?
Ilikuwa ni mbuga yenye wanyama gani?Ile mbuga ilikuwapo siku nyingi sana hata kabla ya uhuru, kilichofanyika ni kuitangaza ijulikane tu; siyo kuwa ilianzishwa majuzi tu.