Lengo la kuanzisha hifadhi ya Burigi - Chato lilikuwa ni nini?

Ile mbuga ilikuwapo siku nyingi sana hata kabla ya uhuru, kilichofanyika ni kuitangaza ijulikane tu; siyo kuwa ilianzishwa majuzi tu.
Ilikuwepo ndiyo kama Mbuga lakini haikuwa na hadhi iliyonayo sasa, ilikuwa na sababu ya kuwa hifadhi ya wanyamapori? Maana kwa hapa nyumbani tunazo mbuga nyingi sana ila zina sababu ya kuhamishiwa wanyama ziwe hifadhi?
 
Lengo ni wewe upate cha kuandika hapa
Taupate kujadili😂😂😂😂
siyo kufuja kodi za walalahoi, kina mama lishe nk ambao kutwa kucha unazifungia biashara zao huku unaenda kuchezea kodi kwa mambo ya kijinga na yasiyo na tija?

watu wakihoji, wanaitwa siyo wazalendo.
maana uzalendo ilikuwa kuunga mkono kila asemacho na afanyacho bwana yule..

mama atake asitake tutamwongezea muda...
 
SSH mi15
CCM mbele kwa mbele
 
Ila ninachoshukuru waislamu huwa siyo wanafiki kabisa. Mama akiongea kwangu mimi huwa naamini kwa asilimia kadhaa japo ni mwanasiasa.
 
Mipango mingi ya mwendazake ilitegemea ameamukaje, haikua ya kitaifa,hivyo mwanzilishaji wa mawazo alijua mwenyewe anamekufa nayo , labda ukimuuliza BASHIRU, POLE POLE,KABUDI ,wenda wanajua,
Wakubwa zangu habari ya majukumu?
Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tz Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa chuo cha MWEKA ambao wamepelekwa kwenda kufanya utafiti kule hifadhini, kiuhalisia mpaka sasa naona vijana wa watu wamepelekwa kuteseka kule. Lengo kuu la kuanzisha hifadhi ile ni lipi? Kuna watalii ambao huwa wanaenda kule kutalii?
 
Ila ninachoshukuru waislamu huwa siyo wanafiki kabisa. Mama akiongea kwangu mimi huwa naamini kwa asilimia kadhaa japo ni mwanasiasa.

Ila mwendazake akisema kama hamtaki kulipia huduma mbaki na 💩💩💩 yenu nyumbani mnasema kawaonea

Ila mwamba kweli mwanasayansi hakuwahi kujua kutumia maneno matamu kufurahisha mtu😂😂😂😂
 
Lengo lilikuwa

1. 'kama kuna hifadhi Moshi na Arusha why not Chato'?
2. Kama hifadhi ndio zinawatia kiburi hawa ma mangi subiri sasa tuone, ngoja na sisi tuwe nazo.

Ujinga mtupu!
Visasi na wivu kazini😅
 
Burigi kwa asilimia kubwa iko biharamulo ,muleba na karagwe sasa kuita burigi chato duu
Kabisa, ni kwamba eneo liliporwa. Hutaki andamana ukutane na jamaa zetu wanafanya usafi siku ya maandamano 😅
 
Wakubwa zangu habari ya majukumu?
Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tz Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa chuo cha MWEKA ambao wamepelekwa kwenda kufanya utafiti kule hifadhini, kiuhalisia mpaka sasa naona vijana wa watu wamepelekwa kuteseka kule. Lengo kuu la kuanzisha hifadhi ile ni lipi? Kuna watalii ambao huwa wanaenda kule kutalii?
Ilianzishwa au iliboreshwa?
 
Ila mwendazake akisema kama hamtaki kulipia huduma mbaki na 💩💩💩 yenu nyumbani mnasema kawaonea

Ila mwamba kweli mwanasayansi hakuwahi kujua kutumia maneno matamu kufurahisha mtu😂😂😂😂
"Au nasema uongo ndugu zangu?" Kumbe anasema uongo kweli tena altareni wakati mwingine😂😂 anyways ni kipindi na kimepita mazuri aliyofanya tunamshukuru alikuwa binadamu na makosa yake Mwenyezi Mungu amrehemu.
 
Mnaobeza hiyo hifazi hamjui HISTORIA ya Hilo Poli.Poli la Burigi Lina wanyama Toka enzi na enzi Kuanzia tembo,Simba ,chui nk.Yani JPM kuongeza chanzo Cha mapato katika nchi yetu imekua bingwa? Achenu wivu ndugu zangu.Hiyo hifazi imeanza na bado no change lakin mbeleni italeta faida kubwa hivo msilete siasa kwenye ishu za maana.
 
Kigwangalla anapaswa kutujibu hili
Na kipindi hicho alichongesha sanamu fake ya Baba wa Taifa ili kuhamisha mjadala wa kwanini kuanzishwa kwa ile hifadhi, kwa jinsi alivyo na akili butu ukimuuliza leo atakataa kwamba hakuhusika
 
Mnaobeza hiyo hifazi hamjui HISTORIA ya Hilo Poli.Poli la Burigi Lina wanyama Toka enzi na enzi Kuanzia tembo,Simba ,chui nk.Yani JPM kuongeza chanzo Cha mapato katika nchi yetu imekua bingwa? Achenu wivu ndugu zangu.Hiyo hifazi imeanza na bado no change lakin mbeleni italeta faida kubwa hivo msilete siasa kwenye ishu za maana.
Hifazi ndio nini,?poli ndio nini ?mkuu
 
Lengo kuu la kuanzisha hifadhi ile ni lipi? Kuna watalii ambao huwa wanaenda kule kutalii?
Hilo angeweza kulijibu Mnyenyekevu
1623691733065.png
 
Mnaobeza hiyo hifazi hamjui HISTORIA ya Hilo Poli.Poli la Burigi Lina wanyama Toka enzi na enzi Kuanzia tembo,Simba ,chui nk.Yani JPM kuongeza chanzo Cha mapato katika nchi yetu imekua bingwa? Achenu wivu ndugu zangu.Hiyo hifazi imeanza na bado no change lakin mbeleni italeta faida kubwa hivo msilete siasa kwenye ishu za maana.
Samahani lakini blaza ficha ujinga wako. Wewe siyo mwenyeji pekee wa hii nchi hayo maeneo unayoyaandikia hapa yana wenyeji ambao pia wanashangaa imekuwaje?
 
Back
Top Bottom