Lengo la kuanzisha hifadhi ya Burigi - Chato lilikuwa ni nini?

Ile mbuga ilikuwapo siku nyingi sana hata kabla ya uhuru, kilichofanyika ni kuitangaza ijulikane tu; siyo kuwa ilianzishwa majuzi tu.
Haikua mbuga,ni pori la akiba kama mapori mengine ya akiba.Kama ni mbuga,tunazo nyingi na nyingine Hazina tija kwakua tumeshindwa kuzitangaza.
 
Hii hifadhi ilianzishwa kwa sababu za kiqumer kutafuta kiki zisizokuwa na msingi wowote.
 
Hii hifadhi ilianzishwa kwa sababu za kiqumer kutafuta kiki zisizokuwa na msingi wowote.
😳😳😳😳😳😳
Blaza mbona unahasira hivyo?
 
Lengo lilikuwa

1. 'kama kuna hifadhi Moshi na Arusha why not Chato'?
2. Kama hifadhi ndio zinawatia kiburi hawa ma mangi subiri sasa tuone, ngoja na sisi tuwe nazo.

Ujinga mtupu!
Nimefungua huu uzi nitoa hili jibu , hivi hiviii
 
Muda huu pia Tz Safari Channel naona wanaonyesha kuna Tausi huku kwetu Burigi-Chato, hawa tausi ni ndege wa asili kwenye hii hifadhi au nao wamekuja kuteswa kama wanafunzi wa chuo cha MWEKA?
 
kuifanya chattle dubai ndogo. hata hivyo hakuna shida, uwanja tutatumia kwa matumizi ya jeshi. yaliyopita si ndwele, tugange yajayo.
 
Ila Mwenyezi Mungu Mkubwa jamani. Ilikuwa chato chato chato kila ukigeuka huku au kule ni chato tu. Mwenyezi Mungu akafanya yake AKAMNYAKUA haraka sana chaliiiiiii!!!. Chato kimyaaaaaa! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wachache wamebaki na wana hofu kubwa. Wengi wameuawa na wawindaji na waliovuka mpaka kuingia Rwanda nao waliuawa.
 
Ila Mwenyezi Mungu Mkubwa jamani. Ilikuwa chato chato chato kila ukigeuka huku au kule ni chato tu. Mwenyezi Mungu akafanya yake AKAMNYAKUA haraka sana chaliiiiiii!!!. Chato kimyaaaaaa! [emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa hahaaa
 
Lengo arusha ishuke alafu chatto iwe "afu landani" hapo ingeshakua mkoa,alafu angeagiza jesh ling'oe mt. Kilimanjaro liupeleke chato... nimeuguzaga vichaa najua akili zao! ogopa kichaa mwenye rungu!!
 
Lengo ilikuwa kuzuia uhalifu,maana waasi walikuwa wanaingia wanavamia watu, wanachimba dhahabu......hata wanyama walioamishwa kuletwa pale walikuwa wanyama wakali,

Nadhani hata ule uwanja wa ndege ulitengenezwa kusupport logistics za kijeshi kiurahisi endapo litatokea la kutokea
 
Sidhani hata kama Kuna watalii uwa wanaenda uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…