Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ndio, hadi sasa tunasubiri picha ya maeneo ya posta mpya haijaja kisa komenti yako...Hahahahahaah jamani mimi huyu huyu????[emoji31][emoji31][emoji31]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, hadi sasa tunasubiri picha ya maeneo ya posta mpya haijaja kisa komenti yako...Hahahahahaah jamani mimi huyu huyu????[emoji31][emoji31][emoji31]
Unaitendea haki kazi yako ya Uchifu Administrator
Hahaha hii kazi naipenda sana ila mods wakinishtukiA 😎😅🎶🎶🎶Unaitendea haki kazi yako ya Uchifu Administrator
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio, hadi sasa tunasubiri picha ya maeneo ya posta mpya haijaja kisa komenti yako...
Nimerudi tena ndugu yenu , Sasa jana nikaenda Posta nikawaambia nataka nipige picha kwenye Yale majengo mawili marefu, Kuna jamaa alionekana mstaharabu kavaa vizuri moka yake, kachomekea akasema nimpe elfu hamsini anipige picha Yale majengo yy ndio msimamizi, nikamuomba sana mana nilikuwa na buku ya nauli tu, nikaondoka ila leo nataka nirudi tena nimechukua hela kidogo Ya kibiashara na mimi nikapige picha kwenye ghorofa
Aiseee[emoji23]Nimerudi tena ndugu yenu , Sasa jana nikaenda Posta nikawaambia nataka nipige picha kwenye Yale majengo mawili marefu, Kuna jamaa alionekana mstaharabu kavaa vizuri moka yake, kachomekea akasema nimpe elfu hamsini anipige picha Yale majengo yy ndio msimamizi, nikamuomba sana mana nilikuwa na buku ya nauli tu, nikaondoka ila leo nataka nirudi tena nimechukua hela kidogo Ya kibashara na mimi nikapige picha kwenye ghorofa
Kwa nini umebadili ID?Nimerudi tena ndugu yenu , Sasa jana nikaenda Posta nikawaambia nataka nipige picha kwenye Yale majengo mawili marefu, Kuna jamaa alionekana mstaharabu kavaa vizuri moka yake, kachomekea akasema nimpe elfu hamsini anipige picha Yale majengo yy ndio msimamizi, nikamuomba sana mana nilikuwa na buku ya nauli tu, nikaondoka ila leo nataka nirudi tena nimechukua hela kidogo Ya kibashara na mimi nikapige picha kwenye ghorofa
usisahau kupiga pasi nguonimekuja kwa makonda kutafuta
kabisaa
Cjaelewa unamaanisha nnKwa nini umebadili ID?
Hapana nililipa nauli tu ya basi na Mia mbili nimetoa pale ubungoushuru wa kuigia dar es salaam umetoa,mie ndio nakusanya
Pasi cjanunua nyumba nayoishi wamesema mwenye Pasi anamaliza umemeusisahau kupiga pasi nguo
MKUU WA MKOA ATAKURUDISHA KIJIJINIPasi cjanunua nyumba nayoishi wamesema mwenye Pasi anamaliza umeme
Usijali mkuu nilichanganya mafailiCjaelewa unamaanisha nn
Kapicha kidogo basi.Kama kichwa kinavosema hapo juu, mimi ni kijana wa miaka 26 mjasiriamali wa shughuli ndogo ndogo, ninaishi kwenye chumba kimoja (ghetto) ambacho hakina runinga, kutokana na uhaba wa kuangalia taarifa mbali mbali za habar nikaonelea nijiunge JF ili niweze kupata habar kwa uharaka zaidi ,natanguliza shukrani mnipokee kijana wenu kutoka mkoani nimekuja kwa makonda kutafuta