Lengo la kujiunga JF

Lengo la kujiunga JF

Ndio, hadi sasa tunasubiri picha ya maeneo ya posta mpya haijaja kisa komenti yako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimerudi tena ndugu yenu , Sasa jana nikaenda Posta nikawaambia nataka nipige picha kwenye Yale majengo mawili marefu, Kuna jamaa alionekana mstaharabu kavaa vizuri moka yake, kachomekea akasema nimpe elfu hamsini anipige picha Yale majengo yy ndio msimamizi, nikamuomba sana mana nilikuwa na buku ya nauli tu, nikaondoka ila leo nataka nirudi tena nimechukua hela kidogo Ya kibashara na mimi nikapige picha kwenye ghorofa
 
Nimerudi tena ndugu yenu , Sasa jana nikaenda Posta nikawaambia nataka nipige picha kwenye Yale majengo mawili marefu, Kuna jamaa alionekana mstaharabu kavaa vizuri moka yake, kachomekea akasema nimpe elfu hamsini anipige picha Yale majengo yy ndio msimamizi, nikamuomba sana mana nilikuwa na buku ya nauli tu, nikaondoka ila leo nataka nirudi tena nimechukua hela kidogo Ya kibiashara na mimi nikapige picha kwenye ghorofa
 
Nimerudi tena ndugu yenu , Sasa jana nikaenda Posta nikawaambia nataka nipige picha kwenye Yale majengo mawili marefu, Kuna jamaa alionekana mstaharabu kavaa vizuri moka yake, kachomekea akasema nimpe elfu hamsini anipige picha Yale majengo yy ndio msimamizi, nikamuomba sana mana nilikuwa na buku ya nauli tu, nikaondoka ila leo nataka nirudi tena nimechukua hela kidogo Ya kibashara na mimi nikapige picha kwenye ghorofa
Aiseee[emoji23]
 
Kwa nini umebadili ID?
 
ushuru wa kuigia dar es salaam umetoa,mie ndio nakusanya
 
Kama kichwa kinavosema hapo juu, mimi ni kijana wa miaka 26 mjasiriamali wa shughuli ndogo ndogo, ninaishi kwenye chumba kimoja (ghetto) ambacho hakina runinga, kutokana na uhaba wa kuangalia taarifa mbali mbali za habar nikaonelea nijiunge JF ili niweze kupata habar kwa uharaka zaidi ,natanguliza shukrani mnipokee kijana wenu kutoka mkoani nimekuja kwa makonda kutafuta
Kapicha kidogo basi.
 
Back
Top Bottom