Lengo la kumfitini Heche, ni kutaka kushusha Morale ya Wananchi dhidi ya CHADEMA, Wananchi waone hawana Mtetezi, wakubaliane na hali

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kwamba Lissu Yuko Jela au Kauwawa , HECHE kauwawa au katolewa Umakamu, Mimi Mwananchi nione sasa Sina wa kuniletea, kwahiyo ngoja tu niumie kimoyomoyo, na siitaki Tena hiyo CHADEMA .

CHADEMA sio ya Mtu, ni ya Wananchi wenyewe, Yoyote atakayekwenda kinyume na Wananchi ndani ya CHADEMA, atafutuliwa mbali
 
Hawawezi kamanda tupo imara Sana Kwanza walisema chadema imekufa vipi Tena leo
 
Kwamba Lissu Yuko Jela au Kauwawa , HECHE kauwawa au katolewa Umakamu, Mimi Mwananchi nione sasa Sina wa kuniletea, kwahiyo ngoja tu niumie kimoyomoyo, na siitaki Tena hiyo CHADEMA .

CHADEMA sio ya Mtu, ni ya Wananchi wenyewe, Yoyote atakayekwenda kinyume na Wananchi ndani ya CHADEMA, atafutuliwa mbali
Chadema ni zaidi ya imani. Naipenda kuliko chochote dunia hii. Mungu amsaidie TAL, Heche na viongozi wote watufikishe nchi ya ahadi
 
Back
Top Bottom