Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hawawezi kamanda tupo imara Sana Kwanza walisema chadema imekufa vipi Tena leoKwamba Lissu Yuko Jela au Kauwawa , HECHE kauwawa au katolewa Umakamu, Mimi Mwananchi nione sasa Sina wa kuniletea, kwahiyo ngoja tu niumie kimoyomoyo, na siitaki Tena hiyo CHADEMA .
CHADEMA sio ya Mtu, ni ya Wananchi wenyewe, Yoyote atakayekwenda kinyume na Wananchi ndani ya CHADEMA, atafutuliwa mbali
Chadema ni zaidi ya imani. Naipenda kuliko chochote dunia hii. Mungu amsaidie TAL, Heche na viongozi wote watufikishe nchi ya ahadiKwamba Lissu Yuko Jela au Kauwawa , HECHE kauwawa au katolewa Umakamu, Mimi Mwananchi nione sasa Sina wa kuniletea, kwahiyo ngoja tu niumie kimoyomoyo, na siitaki Tena hiyo CHADEMA .
CHADEMA sio ya Mtu, ni ya Wananchi wenyewe, Yoyote atakayekwenda kinyume na Wananchi ndani ya CHADEMA, atafutuliwa mbali
AmenChadema ni zaidi ya imani. Naipenda kuliko chochote dunia hii. Mungu amsaidie TAL, Heche na viongozi wote watufikishe nchi ya ahadi