Lengo la Serikali ni kuwaua wakosoaji? Kesi ya Uhaini ni eneo la kujifunza

Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu.

Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo awali.

Kuwashtaki kwa kosa la Uhaini ni picha inaiweka serikali kwenye mizania ya malengo yake kwa hatua mbalimbali za kuizima hii hoja inayojadiliwa sasa nchi nzima na wananchi.

USHAURI
  1. Serikali inabidi ikubali kukosolewa kwa kila hatua inayopiga ya maendeleo
  2. Ukosoaji na kupinga waziwazi siyo tishio kwa ustawi wetu kama nchi bali ni afya ya ushindani wa kifikra hususani kwenye kujenga hoja
  3. Kuwajengea hofu wananchi kwa kuonesha matumizi makubwa ya nguvu kupitia dola ni kuongeza athari za kukosa uvumilivu wa hoja na kisiasa
  4. Serikali kufanya maamuzi na yakaleta utata kimantiki ni vyema ikatumia njia za kidemokrasia kuzikabili hoja kuliko mabavu na vitisho
  5. Mimi kama mwananchi sijioni salama mbele ya serikali yangu. Kwa nini serikali inishughilikie kwa kutoiamini? Je, NI LAZIMA kuiamini serikali kwenye kila kitu?
RAI
Serikali iwaachie wanaharakati na wakosoaji wanaohoji maudhui ya mkataba huu ambao kila mtu sasa amegundua kuwa tunawekwa rehani.
Polisi haijakamata wapingaji wa mkataba na dp,polisi imewakamata wale wote waliokuwa wanatumia lugha chochezi ambazo zilikuwa hatari kwa usalama wa taifa letu na umoja wetu,kumbuka katika kila maaribifu ulimi chochezi ulitumika,na NCHI ZIKAVURUGIKA.
 
Naunga mkono hoja, ila naogopa kuongeza neno maana kama mawakili wazoefu wamefinywa tayari.... mimi nani hata nipayuke..🙄
kuna thread ya jamaa anaitwa john kaileta humu kwamba tuwe makini . Hivi vi i.D fake visitufanye tuwe safe. Mimi najiuliza je sera ya faragha ya j.F inasemaje kuhusu hili. Na maana jf wanaweza kutoa identities za watu humu kwa mamlaka pasipo kumshirikisha mhusika?
 
Shida ni kuwa hawatakuwa na ushahidi.

Hapo wanataka wapotezea muda tu
Ni kama tu ilivyokua kwenye zile kesi zao za uchochezi, na pia ile kesi ya Mbowe na kilichoitwa ugaidi!

Wanakupotezea muda wako, halafu mwisho wa siku wanakufutia mashtaka kwa kisingizio cha DPP kuto kuonesha nia ya kuendelea na hiyo kesi.
 
Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu.

Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo awali.

Kuwashtaki kwa kosa la Uhaini ni picha inaiweka serikali kwenye mizania ya malengo yake kwa hatua mbalimbali za kuizima hii hoja inayojadiliwa sasa nchi nzima na wananchi.

USHAURI
  1. Serikali inabidi ikubali kukosolewa kwa kila hatua inayopiga ya maendeleo
  2. Ukosoaji na kupinga waziwazi siyo tishio kwa ustawi wetu kama nchi bali ni afya ya ushindani wa kifikra hususani kwenye kujenga hoja
  3. Kuwajengea hofu wananchi kwa kuonesha matumizi makubwa ya nguvu kupitia dola ni kuongeza athari za kukosa uvumilivu wa hoja na kisiasa
  4. Serikali kufanya maamuzi na yakaleta utata kimantiki ni vyema ikatumia njia za kidemokrasia kuzikabili hoja kuliko mabavu na vitisho
  5. Mimi kama mwananchi sijioni salama mbele ya serikali yangu. Kwa nini serikali inishughilikie kwa kutoiamini? Je, NI LAZIMA kuiamini serikali kwenye kila kitu?
RAI
Serikali iwaachie wanaharakati na wakosoaji wanaohoji maudhui ya mkataba huu ambao kila mtu sasa amegundua kuwa tunawekwa rehani.
Miaka 10 ijayo, kesi hii itawageukia wao
 
kuna thread ya jamaa anaitwa john kaileta humu kwamba tuwe makini . Hivi vi i.D fake visitufanye tuwe safe. Mimi najiuliza je sera ya faragha ya j.F inasemaje kuhusu hili. Na maana jf wanaweza kutoa identities za watu humu kwa mamlaka pasipo kumshirikisha mhusika?
Samahani mkuu, mimgeni humu...😑
 
Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu.

Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo awali.

Kuwashtaki kwa kosa la Uhaini ni picha inaiweka serikali kwenye mizania ya malengo yake kwa hatua mbalimbali za kuizima hii hoja inayojadiliwa sasa nchi nzima na wananchi.

USHAURI
  1. Serikali inabidi ikubali kukosolewa kwa kila hatua inayopiga ya maendeleo
  2. Ukosoaji na kupinga waziwazi siyo tishio kwa ustawi wetu kama nchi bali ni afya ya ushindani wa kifikra hususani kwenye kujenga hoja
  3. Kuwajengea hofu wananchi kwa kuonesha matumizi makubwa ya nguvu kupitia dola ni kuongeza athari za kukosa uvumilivu wa hoja na kisiasa
  4. Serikali kufanya maamuzi na yakaleta utata kimantiki ni vyema ikatumia njia za kidemokrasia kuzikabili hoja kuliko mabavu na vitisho
  5. Mimi kama mwananchi sijioni salama mbele ya serikali yangu. Kwa nini serikali inishughilikie kwa kutoiamini? Je, NI LAZIMA kuiamini serikali kwenye kila kitu?
RAI
Serikali iwaachie wanaharakati na wakosoaji wanaohoji maudhui ya mkataba huu ambao kila mtu sasa amegundua kuwa tunawekwa rehani.
Wanakwepa kuua kwa bunduki wanawapelekea mahakama wawahukumu kufa ambapo bado tu chanzo ni serikali kuchafuka damu za wananchi wsio na hatia. Hakuna haja ya kuichagua CCM tena na Mungu ataamua kwa hili kwa haki na wataaibika
 
unanivunja mbavu.

Mnapambana na raia wanaotoa maoni kinzani.

Hoja zimewashinda
Kulazimisha mkataba unaokataliwa na wananchi ni UHAINI hii inatakiwa iwe kwenye kumbukumbu ili viongozi wote walipo madarakani waje wawajibishwe kwa hili bila huruma. Madaraka ya rais ni ya wananchi hawezi kuwanyamazisha kinyume na maslahi ya nchi.
 
Polisi haijakamata wapingaji wa mkataba na dp,polisi imewakamata wale wote waliokuwa wanatumia lugha chochezi ambazo zilikuwa hatari kwa usalama wa taifa letu na umoja wetu,kumbuka katika kila maaribifu ulimi chochezi ulitumika,na NCHI ZIKAVURUGIKA.
Rudia kusoma ulichoandika mkuu.
Nahisi umeandika ina biased manner
 
Wanakwepa kuua kwa bunduki wanawapelekea mahakama wawahukumu kufa ambapo bado tu chanzo ni serikali kuchafuka damu za wananchi wsio na hatia. Hakuna haja ya kuichagua CCM tena na Mungu ataamua kwa hili kwa haki na wataaibika
Yes
Mimi nimeliona anguko la CCM lakini haeataki kujisahihisha bali wamejiimafisha kama dagoni vile
 
Ndiyo maana nasema una utoto! Kuna issue hot Mdude, wewe unaleta mambo ya chopa....
Mungu wa mbinguni hatakubariki kamwe
Ukiwa CCM lazima ujifanye punguani hata kama ni PhD holder ili maisha yasonge
 
Professor Patrick Lumumba spoke a lot about African leaders. Search him from U-tube.
 
Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu.

Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo awali.

Kuwashtaki kwa kosa la Uhaini ni picha inaiweka serikali kwenye mizania ya malengo yake kwa hatua mbalimbali za kuizima hii hoja inayojadiliwa sasa nchi nzima na wananchi.

USHAURI
  1. Serikali inabidi ikubali kukosolewa kwa kila hatua inayopiga ya maendeleo
  2. Ukosoaji na kupinga waziwazi siyo tishio kwa ustawi wetu kama nchi bali ni afya ya ushindani wa kifikra hususani kwenye kujenga hoja
  3. Kuwajengea hofu wananchi kwa kuonesha matumizi makubwa ya nguvu kupitia dola ni kuongeza athari za kukosa uvumilivu wa hoja na kisiasa
  4. Serikali kufanya maamuzi na yakaleta utata kimantiki ni vyema ikatumia njia za kidemokrasia kuzikabili hoja kuliko mabavu na vitisho
  5. Mimi kama mwananchi sijioni salama mbele ya serikali yangu. Kwa nini serikali inishughilikie kwa kutoiamini? Je, NI LAZIMA kuiamini serikali kwenye kila kitu?
RAI
Serikali iwaachie wanaharakati na wakosoaji wanaohoji maudhui ya mkataba huu ambao kila mtu sasa amegundua kuwa tunawekwa rehani.
Lengo la serIkali ni kuhamisha hoja kutoka watu kujadili DP world na mkataba sasa waanze kujadili kesi za mahakaman. Kama ile ya mbowe.
 
we elimu yako ni kiwango gani, uchochezi, uzushi, upotoshaji, uhaini siyo ukosoaji. Nchi hii ina sheria na taratibu zake, ina viongozi walioapa kulinda ulinzi na usalama wa nchi yetu, lazima utii sheria za nchi vinginevyo unashughulikiwa. Wale ni wahalifu kila mtu alikuwa anawasikia walichokuwa wanahubiri usituletee upuuzi wako kaa kimya wacha washughulikiwe wapuuzi wale. Watu wanaongea kabisa kumwondoa rais madarakani, wanaongea habari za kuvunja muungano, wanatukana, wanachochea wananchi kufanya maanadamano ya kuitoa serikali madarakani kwa njia haramu bado useme wanakosoa, we akili umemwazima nani, tuanzie hapo.

Watu wanasema tuamke tusiogope, huu siyo uchochezi? Muungano ni mojawapo ya tunu za taifa letu. siyo wa kuuchezea, aliondolewa aliyekuwa rais wa Zanzibar Aboud Jumbe kutaka kuvunja muungano, sembuse hao sisimizi? Hakuna mtu wa kuuvunja huu muungano una manufaa zaidi kuliko kitu kingine chochote. Hata hivyo wanzanzibari km siyo wote wengi wao ni wenyeji wa Tanzania bara mfano mzee Ally Hassan Mwinyi alihamia Zanzibar akiwa mtoto mdogo, alizaliwa Pwani wilaya ya Mkuranga. Nenda pale Tanga, ndugu zao wako Pemba, Unguja wengi walitokea mikoa ya Pwani na Dar Es Salaam. Kutoka Dar mpaka Unguja(Zanzibar) ni kilomita 50 tu, kwanza nawashangaa akina Mwabukusi, Nshalla, Slaa na wengine kujifanya wana uchungu na bandari ambayo iko kilomita zaidi ya 1000 kutoka walikozaliwa mpaka iliko bandari kuliko waliozaliwa na kukulia karibu na bandari yenyewe. Wazanzibar km siyo wakoloni kuigawa nchi zetu ndio wangelikuwa wenye bandari ya Dar Es Salaam kuliko siye tulio mbali huku bara. Muungano wetu una mkono wa Mungu mwenyewe na hautakaa uvunjike, sisi ni ndugu.

Umeandika upumbavu mtupu,i regret wasting my time reading the [emoji3595] rubbish
 
Back
Top Bottom