Lengo la Serikali ni kuwaua wakosoaji? Kesi ya Uhaini ni eneo la kujifunza

Polisi haijakamata wapingaji wa mkataba na dp,polisi imewakamata wale wote waliokuwa wanatumia lugha chochezi ambazo zilikuwa hatari kwa usalama wa taifa letu na umoja wetu,kumbuka katika kila maaribifu ulimi chochezi ulitumika,na NCHI ZIKAVURUGIKA.
 
Naunga mkono hoja, ila naogopa kuongeza neno maana kama mawakili wazoefu wamefinywa tayari.... mimi nani hata nipayuke..🙄
kuna thread ya jamaa anaitwa john kaileta humu kwamba tuwe makini . Hivi vi i.D fake visitufanye tuwe safe. Mimi najiuliza je sera ya faragha ya j.F inasemaje kuhusu hili. Na maana jf wanaweza kutoa identities za watu humu kwa mamlaka pasipo kumshirikisha mhusika?
 
Shida ni kuwa hawatakuwa na ushahidi.

Hapo wanataka wapotezea muda tu
Ni kama tu ilivyokua kwenye zile kesi zao za uchochezi, na pia ile kesi ya Mbowe na kilichoitwa ugaidi!

Wanakupotezea muda wako, halafu mwisho wa siku wanakufutia mashtaka kwa kisingizio cha DPP kuto kuonesha nia ya kuendelea na hiyo kesi.
 
Miaka 10 ijayo, kesi hii itawageukia wao
 
Samahani mkuu, mimgeni humu...😑
 
Wanakwepa kuua kwa bunduki wanawapelekea mahakama wawahukumu kufa ambapo bado tu chanzo ni serikali kuchafuka damu za wananchi wsio na hatia. Hakuna haja ya kuichagua CCM tena na Mungu ataamua kwa hili kwa haki na wataaibika
 
unanivunja mbavu.

Mnapambana na raia wanaotoa maoni kinzani.

Hoja zimewashinda
Kulazimisha mkataba unaokataliwa na wananchi ni UHAINI hii inatakiwa iwe kwenye kumbukumbu ili viongozi wote walipo madarakani waje wawajibishwe kwa hili bila huruma. Madaraka ya rais ni ya wananchi hawezi kuwanyamazisha kinyume na maslahi ya nchi.
 
Rudia kusoma ulichoandika mkuu.
Nahisi umeandika ina biased manner
 
Wanakwepa kuua kwa bunduki wanawapelekea mahakama wawahukumu kufa ambapo bado tu chanzo ni serikali kuchafuka damu za wananchi wsio na hatia. Hakuna haja ya kuichagua CCM tena na Mungu ataamua kwa hili kwa haki na wataaibika
Yes
Mimi nimeliona anguko la CCM lakini haeataki kujisahihisha bali wamejiimafisha kama dagoni vile
 
Ndiyo maana nasema una utoto! Kuna issue hot Mdude, wewe unaleta mambo ya chopa....
Mungu wa mbinguni hatakubariki kamwe
Ukiwa CCM lazima ujifanye punguani hata kama ni PhD holder ili maisha yasonge
 
Professor Patrick Lumumba spoke a lot about African leaders. Search him from U-tube.
 
Lengo la serIkali ni kuhamisha hoja kutoka watu kujadili DP world na mkataba sasa waanze kujadili kesi za mahakaman. Kama ile ya mbowe.
 

Umeandika upumbavu mtupu,i regret wasting my time reading the [emoji3595] rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…