Lengo la Serikali ni kuwaua wakosoaji? Kesi ya Uhaini ni eneo la kujifunza

Ndio watu wanatakiwa kuchukua tahadhari
 
Kulazimisha mkataba unaokataliwa na wananchi ni UHAINI hii inatakiwa iwe kwenye kumbukumbu ili viongozi wote walipo madarakani waje wawajibishwe kwa hili bila huruma. Madaraka ya rais ni ya wananchi hawezi kuwanyamazisha kinyume na maslahi ya nchi.
Wabunge sii wameubariki huo mkataba au wabunge sio wananchi?
 
Huu mkataba utakuwa wakiovu haswa
 
Kulazimisha mkataba unaokataliwa na wananchi ni UHAINI hii inatakiwa iwe kwenye kumbukumbu ili viongozi wote walipo madarakani waje wawajibishwe kwa hili bila huruma. Madaraka ya rais ni ya wananchi hawezi kuwanyamazisha kinyume na maslahi ya nchi.
Wananchi Gani hao mbona tupo tunaoafiki mchakato uendelee faster
 
Serikali haiwaui mnajiua wenyewe
 
Shida ni kuwa hawatakuwa na ushahidi.

Hapo wanataka wapotezea muda tu
Msiconcludd msilolijua. Je kama akina slaa walikuwa wanaandaa na kuongea na maneshi ili kupindua nchi na Siri imenulikana kabla ya mission yao
 
Kama lengo ni kupata mapato makubwa basi wampe DPW hizi taasisi TANROAD,TRC,WIZARA YA FEDHA,ATC.
 
Mbona raisi haongelei suala la DP World kabisa?Nyuma ya hii kitu kuna nini? kina kibibi faizafox Kazi kushadadia hii kitu wakati muhusika mkuu haongei chochote!
 
Wewe wala usighofu mama amesaini Mikataba 36 ndio kwanza umeanza mmoja mengine iko njiani inakuja

Waongeze speed kuitekeleza iliyobaki hiyo 35 tupae juu kiuchumi ili wanaharakati watulie waone maendeleo kwa macho hivyo polisi watajikita kwenye kuzuia uhalifu mitaani na si kukabiliana na wanaharakati.
 
Ukiangalia suala la sasa kuhusu uhaini kuna uwezekano mkubwa wahaini wakuu wanazunguka na anaehisiwa kupinduliwa na wanampamba kweli.

Hawa wahaini wa sasa ni kupindisha uelekeo tu.



 
Serikali, serikali, serikali. Mimi labda uelewa wangu ni mdogo. Hivi hili dude linaloitwa serikali ni nani? Maana naona kutokana na maoni ya watu wengi humu JF watu wengi wanaliogopa sana hili dude. Hili dude linapata wapi hizi nguvu zisizo na mipaka mpaka watu wanatetemeka wakisiki jina lake.

Katiba yetu inasemaje kuhusu serikali. Inapata wapi mamlaka na inawajibika kwa nani?

Sisi watz ni watu wa ajabu sana ndiyo maana jirani zetu wanatudharau. Kwa hao vibaraka wa "serikali" wafikishieni ujumbe kwamba mbio za sakafuni huidhia ukingoni na siku zote Mungu hanwavhi mja wake.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa ulicho post wewe ndiyo unatakiwa kuulizwa elimu yako. Hivi elimu maana yake nini? Kuwa na cheti cha shule? Kama huwezi ukatumua ubongo wako vizuri hujaelimika. Kelimika kwako ni kutumia elimu uliyoipata shule kusaidia kuimarisha maisha ya jamii yako. Kinyume chake you are just a tool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…