William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Sema bongo wachambuzi Ni washabiki tu. Ukiwafata na ushabiki Ni hakuna kabisa vitu kichwani. Muda wote kuiponda Simba oh Haina timu.
Simba imemchukua baleke. Hata combination haijakomaa. Kafunga magoli mengi kuliko mfungaji yoyote ligi ya Tanzania tokea aje
Sawadong ametokea Chan, timu ya Taifa. Sema amekuta kikosi kizuri.
Simba imemchukua Okra, akiwa anacheza timu ya Taifa ya Ghana. Kutoka Africa wakiwa wawili wakati huo.
Sacko pekee kutoka Africa ndio yupo nation tearm ya Senegal. Hiyo inamaana ukitaka kumsajili msenegal mwingine Bora kuliko yeye Basi umtoe ligi ya ulaya. Bado wachambuzi oh tusajili?!!!! Nani Sasa, tukurupuke tu.
Tuliwachukua akina Duncan nyoni na kahata, chikwembe, wakiwa wa Moto kabisa lakini walikuta Kaka zao wakakalia benchi tu. Au laly bwalya, Simba imejaa vipaji tupu
Kusini mwa jangwa la Sahara Simba Sasa ndio inakikosi Bora zaidi na zaidi. Usije linganisha na Hao Yanga ata robo. Ilikuwa na shida kwa wafungaji Moses Phiri, baleke, Okra wote wamekuja wakiwa wafungaji Bora kabisa walipotoka. Acha robatinyo asuke kombination tu.
Eti wasajili hehehe. Nani Sasa labda Sadio Mane. Bakayoko Saka, au Harry Kane.
Afrika tutaibiwa tu. Je Mo anauchumi huo?
Leo klabu bingwa tunawafungaji Bora wawili Kati ya tatu bora wote wako Simba. Beki Bora Sana kitakwimu Zipo Simba.
Ukisema tusajili useme Nani hafit, baleke? Au kanote, Mzamiru au Kapombe. Au kibu Denis.