Lengo lake huyu dada ni nini?

Lengo lake huyu dada ni nini?

Ni kawaida wadada wakiwa wamehamia bado wageni mahali wanatafuta kampani kwa style hiyo.. yule anayeonekana yupo close nao ndio wanajisogeza.

Akishazoea eneo akapata kampani nyingine inakua ngumu kwake kukuzoea.
Huyo dada ni muoga kidogo na wewe umekua mtu sahii wa kumkampani .

Japo mi sio mpiga ramli lakini utani wake, ni kama anataka kwenda mbali zaidi ya kampani..
Enjoy the ride...
MKUU
UNA UHAKIKA KUWA WEWE SIO MPIGA RAMLI?
 
Watu kama s3neta madem wanawazimikia kishenzi na mapicha picha yao. ...ukiwa mtu serious you kill the vibe
 
Senator. M twiz na general galadudu you guys mko talented. Wewe jamaa unajua..... Mzee wa kwenda kibaha. Na top speed ya mark X
NAAAAAAAAAAAAAM KIONGOZI.

NA KUZIOVATEKI TIPA ZA MCHANGA KAMA MASIHARA!
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi[emoji28] [emoji28] .....eti unapendelea chips kama wanaume wa Dar[emoji2] [emoji2] [emoji2]mazafa......
SINA TATIZO KABISA NA NDUGU ZA HAWA,
COZ ND'O MAJIRANI ZANGU HAPA MJINI.
 
Back
Top Bottom