Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Aziz Key hana maajabu wa kawaida sana.
Yanga kama wanabajeti huku kikosi kinabomoka wewe uoni hilo?
Yanga kama wanabajeti huku kikosi kinabomoka wewe uoni hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hivi kuna lolote la Hersi kujivunia usajili wa Aziz Ki? [emoji16][emoji16][emoji16]
Aziz Key hana maajabu wa kawaida sana.
Yanga kama wanabajeti huku kikosi kinabomoka wewe uoni hilo?
kama kuulizana maswali na wewe kamuulize Diara Kibu Denis anamiguu ya DP World au ya Bandari.Hahahaha muulize manula atAkwambia.
Tabu zipo pale mlifanya figisu kwa Feisal mkijua Yanga inaenda kupotea mwisho wa ligi zote njoo tufunge mahesabu mimi na wewe tuone nani anakingi mezani
unacheka kwa uchungu 😁😁😁Hahahaa sawa boss na vip Mo hapo Simba zile Bi 20 keshaziweka mezani.
Hersi akitaka kuikodisha uto njia nyeupeee.Hahahaa sawa boss na vip Mo hapo Simba zile Bi 20 keshaziweka mezani.
Hakika kuna haja ya kumwomba Rage msamaha
Kwa hiyo tukipiga kelele humu JF kuwa Yanga haiwezi kumsajili Yikpe, basi mbio mbio Hersi ataenda kumsajili ili kutuprove wrong? 😁😁😁Ishu sio usajili umesahau zile kelele ooo Yanga haiwezi sijui injinia kapiga picha na mama flan na sio mama K Kiko wapi.
Unachodhani ni chako, ukweli ni kwamba ni cha GSM 😁njoo tufunge mahesabu mimi na wewe tuone nani anakingi mezani
Ila hamna anaekula ugali na sukari.Sasa si bora hata Hersi atakodisha vipi nyie mmempa mo timu bure bure
Medali wanazo wachezaji, sio washabiki wala mihogo 😁[emoji1787][emoji1787] tangia lini umekua msemaji wangu yani nicheke kwa uchungu wakati nina medali 4 nashangaa wewe unatoa wapi nguvu ya kubishana humu.
Rage kakukaa moyoni dada unajua kupenda kweli weweHahahaa sawa boss na vip Mo hapo Simba zile Bi 20 keshaziweka mezani.
Hakika kuna haja ya kumwomba Rage msamaha