Lengo lao sio Yanga, lengo lao ni rais wa Yanga, Injinia Hersi Said

Lengo lao sio Yanga, lengo lao ni rais wa Yanga, Injinia Hersi Said

Mkuu, hivi kuna lolote la Hersi kujivunia usajili wa Aziz Ki? [emoji16][emoji16][emoji16]

Hahaha muulize Manula hilo swali ako akikujibu rudi hapa.

Ishu sio usajili umesahau zile kelele ooo Yanga haiwezi sijui injinia kapiga picha na mama flan na sio mama K Kiko wapi.
 
Aziz Key hana maajabu wa kawaida sana.
Yanga kama wanabajeti huku kikosi kinabomoka wewe uoni hilo?

Hahahaha muulize manula atAkwambia.

Tabu zipo pale mlifanya figisu kwa Feisal mkijua Yanga inaenda kupotea mwisho wa ligi zote njoo tufunge mahesabu mimi na wewe tuone nani anakingi mezani
 
Hahahaha muulize manula atAkwambia.

Tabu zipo pale mlifanya figisu kwa Feisal mkijua Yanga inaenda kupotea mwisho wa ligi zote njoo tufunge mahesabu mimi na wewe tuone nani anakingi mezani
kama kuulizana maswali na wewe kamuulize Diara Kibu Denis anamiguu ya DP World au ya Bandari.

lakini ukweli Aziz Key hana maajabu ni wa kawaida.
 
Hadi hapo me nampa 79% kwa alichofanya kama Raisi wa club so kama kuna madudu ambayo sijayaona au kuona wanachama wakilalamq dhidi ya hilo, siwezi kujua.
 
Ishu sio usajili umesahau zile kelele ooo Yanga haiwezi sijui injinia kapiga picha na mama flan na sio mama K Kiko wapi.
Kwa hiyo tukipiga kelele humu JF kuwa Yanga haiwezi kumsajili Yikpe, basi mbio mbio Hersi ataenda kumsajili ili kutuprove wrong? 😁😁😁
 
Kwa hiyo tukipiga kelele humu JF kuwa Yanga haiwezi kumsajili Yikpe, basi mbio mbio Hersi ataenda kumsajili ili kutuprove wrong? [emoji16][emoji16][emoji16]

Yikpe zilipendwa ni Sawa na Simba Lokosa,Okwa, Dejan
 
unacheka kwa uchungu [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji1787][emoji1787] tangia lini umekua msemaji wangu yani nicheke kwa uchungu wakati nina medali 4 nashangaa wewe unatoa wapi nguvu ya kubishana humu.
 
Tulipotoka mpaka tulipofika GSM na Hersi wamefanya kazi kubwa sana,yaani kipindi kile Molinga na Yikpe ndio mafoward wa kutumainiwa, leo hii ndani ha miaka miwili mataji sita plus fainali ya CAF shirikisho.

Ambayo kwa mujibu wa CAF kwenye michuano yote ta CAF,Yanga ndio timu ya kwanza kufika fainali ya michuano ya CAF kutoka Tanzania.

Mimi nina imani nae hata wakiondoka wachezaji wote nina uhakika ataijenga timu kwani club sasa imeingiza hela nyingi kupitia michuano ya CAF.

Hizi kelele ni za Kolo FC tusha zizoea ndio wana ongoza kufungua threads za kuiponda Yanga.Wakipigwa wanaulizia bil 20 na jana lile bango lao la mfano wa hundi halija onyesha hela zile 2bn zimewekwa benki gani, sasa ngojea wakipigwa wataanza kuziulizia bil 2 zao.
 
[emoji1787][emoji1787] tangia lini umekua msemaji wangu yani nicheke kwa uchungu wakati nina medali 4 nashangaa wewe unatoa wapi nguvu ya kubishana humu.
Medali wanazo wachezaji, sio washabiki wala mihogo 😁
 
Back
Top Bottom