lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
kwa akil yak hiyo,huyo devota anaweza kumshinda abood?? Acha domo mkuuKwa technologia ya kisasa, picha ya passport size huwa tiyari ndani ya dakika 2 tuu. Je, hizo dakika mbili tume zetu zimeshindwa kusubiri hadi kumpoteza Mbunge? Mfano Devota Minja wa Morogoro. Hili liangaliwe upya endapo hakuna hila yeyote.
Kwa Nini ukosee kujaza fomu?Tanzania ni Taifa la ajabu sana sijawahi kuona. Dunia inatushangaa na vizazi vijavyo vitakuja kutushangaa. Hivi lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza FOMU? Kwanini imekua ni kama mtihani fulani hivi kwamba mtu akikosea kujaza FOMU anaondolewa kwenye nafasi ya kugombea?
Hivi wewe ni mtanzania halisi?Tatizo ujinga umewazidi chadema, mkikaa mnawaza uropokaji tu na upotoshaji, kesi ni 26/08/2020, nyie mmekaa tu kulishwa maneno. Mnajitekenya na kucheka wenyewe, mnatia hadi huruma, na hakuna wa kuwaonea huruma uchaguzi huu
Ningekusoma, kama kusingekuwa na figisu nyingi kwenye chaguzi ndogo na ule wa serikali za mitaa. Kwa kuiba tu, CCM kiboko. Kana Magufuli ni bora, figisu za nini?Tatizo ujinga umewazidi chadema, mkikaa mnawaza uropokaji tu na upotoshaji, kesi ni 26/08/2020, nyie mmekaa tu kulishwa maneno. Mnajitekenya na kucheka wenyewe, mnatia hadi huruma, na hakuna wa kuwaonea huruma uchaguzi huu
Mwl siku moja alishawahi kutoa mfano kwamba mbongo akifungwa macho akajafunguliwa akaambiwa hapa uko london sasa tusijuane basi mbongo utafurahi na kusema Asante mungu.Tanzania ni Taifa la ajabu sana sijawahi kuona. Dunia inatushangaa na vizazi vijavyo vitakuja kutushangaa. Hivi lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza FOMU? Kwanini imekua ni kama mtihani fulani hivi kwamba mtu akikosea kujaza FOMU anaondolewa kwenye nafasi ya kugombea?...
Tanzania ni Taifa la ajabu sana sijawahi kuona. Dunia inatushangaa na vizazi vijavyo vitakuja kutushangaa. Hivi lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza FOMU? Kwanini imekua ni kama mtihani fulani hivi kwamba mtu akikosea kujaza FOMU anaondolewa kwenye nafasi ya kugombea?....