LENGO NI WIZI: Mkwe yuko wizara ya Afya bajeti imeongezwa. Bashe alikuwa Kilimo bajeti ikaongezwa

LENGO NI WIZI: Mkwe yuko wizara ya Afya bajeti imeongezwa. Bashe alikuwa Kilimo bajeti ikaongezwa

robinson crusoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
842
Reaction score
1,425
Kweli kabisa mitandao inabaini mapema kabisa! Ktk kupanga bajeti za nchi, bajeti inaongezwa kutegemea nani ni waziri, na anapangiwa makatibu wakuu wa aina fulani. Trend hii ilijionesha kwa Bashe. akaja na program ya mfukoni, akafanya ufisadi anavyotaka, mitandao tukaandika, akina Mpina wakauliza Bungeni, lakini hakuna aliyesikiliza. Ndo kabisa bajeti ya Kilimo ikaongezwa. Ameiba anavyotaka, akajenga vituo vya mafuta anavyotaka. sasa anajifanya mkulima/mfugaji mwenye mtaji mkubwa. eti anazalisha maziwa.

Sasa ni zamu ya mkwe. Anapangiwa bajeti ya kufuja pesa. Ukarabati (siyo kujenga) Muhimbili trilioni na zaidi! Bajeti imetuna, vyombo vya habari vimeandika, mjengoni wamepiga tu kelele, wengine wamepandikizwa kuunga mkono. Kifuatacho Mkwe atapiga pesa anavyotaka hadi mwisho wa utawala wa mamamkwe!

Yaani unahangaika na Muhimbili, pale kuna mloganzila! Temeke na Amana bado ni dispensari. Mikoani; Singida, Tabora, Shinyanga, Kigoma, Katavi, Rukwa hakuna hospitali. Pia Iringa, Mbeya, Ruvuma, Mtwara hakuna hospitali.
 
Nilishangaa kwanini asijenge nyingine kubwa muhimbili ikabaki kama sio upigaji jenga cha kwako kikubwa zaidi ya muhimbili watu wakukumbuke kwa kujenga hospital kubwa zaidi Afrika mashariki
 
Nilishangaa kwanini asijenge nyingine kubwa muhimbili ikabaki kama sio upigaji jenga cha kwako kikubwa zaidi ya muhimbili watu wakukumbuke kwa kujenga hospital kubwa zaidi Afrika mashariki
😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom