Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu