Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nawe wa hovyo kabisa,hoja Gani hizi Sasa.Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Sativa ni mhuni Kama wahuni wengineSATIVA si ameshamtaja Mafwele, wamefikia hatua gan??
Yan washukiwa wa kwanza (waliojitambulisha kuwa ni Polisi na kumchukua kwenye gari) ndo hao hao ukawasaidie kwenye upelelezi??
Hizo ni akili au matope?.
Wewe ndiyo hoja Gani hizo Sasa:Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Siku ya hesabu unaijua au unaisikia tu?Amuite Nani aende akafungue shauri mahamani
NO HATE NO FEAR ✌️ endelea kuumia roho.Chadema mnawapa Ujiko wa Bure 🐼
Trueusiwaamini wanasiasa sana leo ni hivyo kesho mambo yakibadirika utajionea vichekesho!,hilo jeshi wanalolisema kesho wakipata hatamu yakushika uongozi kauli zitabadirika hutakaa uamini!
hilohilo jeshi ndo litakuwa kipenzi chao...
maisha ya siasa huwa yamejaa ndimi mbilimbili,ukiwakubali wanasiasa tembeanao kwa umakini sana utaachwa mataa!.
..Chadema wamesema hawana imani na jeshi la Polisi. Na wameweka wazi kwamba hawatashirikiana na jeshi hilo ktk uchunguzi wa matukio ya utekaji. Badala yake Chadema wamesema wako tayari kushirikiana na WACHUNGUZI HURU WA KIMATAIFA, na wameisihi serikali iwaite haraka.
Kwamba Mnyika na wana Chadema ni raia wenye uraia wa Kimataifa kwanza kabla ya Taifa lao la uzawa? Wameukana lini utanzania?
Sio kwamba Tanzania ni nchi huru yenye kujitegemea kwa kila nyanja ikiwemo ya ulinzi na Usalama wa nchi, raia na mali zao?
Kutii sheria za mamlaka yaliyopo katika nchi ambayo wewe ni raia wake ni Hekima.
Na Busara ni kuitikia wito na kukataa neno.
Unless kuna button inatafutwa….
Ndo maana akajiteka kutoka Dar akaenda kujipiga risasi na kujitupa katavi si ndio?Sativa ni mhuni Kama wahuni wengine
Msimamo wa cdm uko wazi, polisi ni watuhumiwa hivyo hawawezi kujichunguza. Iundwe tume ya kijaji. Polisi hawataki kufanya uchunguzi, bali wanataka kujua kiwango cha ushahidi ili wauharibu.Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Sio chadema tu raia wote wenye akili timamu hawana Imani na jeshi la police...Chadema wamesema hawana imani na jeshi la Polisi. Na wameweka wazi kwamba hawatashirikiana na jeshi hilo ktk uchunguzi wa matukio ya utekaji. Badala yake Chadema wamesema wako tayari kushirikiana na WACHUNGUZI HURU WA KIMATAIFA, na wameisihi serikali iwaite haraka.
Mnyika anaitwa kutoa maelezo ya namna gani wakati hakuwepo kwenye tukio?? yan wasiitwe mashahidi waliokuwepo kweny tukio alafu anaitwa mnyika . una akili kweliNi hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa ushirikiano eti kisa wanakikao Cha kamati kuu ya chadema, hivi Hawa watu mnawaelewaje ndugu zangu waTZ, wanamfanyia nini mwenzao?
Wanaogopa nini kwenda kutoa ushirikiano Polisi? Kwanini wanasuasua kutoa ushirikiano kwa Polisi.
Tunaliomba jukwa hii Tukufu liwahoji viongozi wa chadema wote kwamba cheo Cha Mnyika hakiwezo kikakaimishwa na mjumbe mwingine ili Mnyika aende Polisi akatoe ushirikiano?
NB; Chadema acheni siasa za hovyo nchini mwetu
Iangaliwe na nani? Na hao wauaji?Ndo maana tunasema chadema iangaliwe kwa jicho la pekee Sana kwenye haya yanayoendelea nchini
Hawa ndio wanaotumiwa na hao wauaji wakiamini watu wote hawana akili kama walivyo wao.Mnyika anaitwa kutoa maelezo ya namna gani wakati hakuwepo kwenye tukio?? yan wasiitwe mashahidi waliokuwepo kweny tukio alafu anaitwa mnyika . una akili kweli
Kwa sababu gani, kwamba wao ndio wenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao au kwa vile wanadai baadhi ya wanachama wao wametekwa/potea na wengine kuuawa? Bado sijaona logic ya hoja yako hapa.Ndo maana tunasema chadema iangaliwe kwa jicho la pekee Sana kwenye haya yanayoendelea nchini