Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

Una uha
Una uhakika gani kwamba hao polisi hawa fanyi viini macho. Yaani matendo maovu wafanye wao halafu wana taka ushahidi? Hii ni sawa na askari magereza kumuuliza mfungwa ni nani ana pita huko nje.
 
Marehemu kibao ni baba yake na Mnyika?

Imeshathibitishwa kwamba kauawa na polisi?
Mfano wa baba yako ulikuwa kukufanya uelewe uchungu wa kuuliwa mtu wa karibu. Unajuaje kama uhusiano wa Mnika na Kibao ulikuwa wa karibu zaidi kuliko wa yeye na baba yake? Hujawahi kuona mtu ana uhusiani wa karibu na mtu baki kuliko alionao na ndugu yake?
 
Yeyote anaedinda kutoa ushirikiano kwasabb yoyote ile katika kupata haki na stahiki za kamanda Ally Mohamed Kibao, ajue anashiriki kikamilifu kudhulumu haki na stahiki za kamanda kibao,

na siku ya mwisho mbele za Mungu ataulizwa..

R.I.P kamanda, kuna watu wa chama chako wanaleta mzahaa wanaona haki zako si umuhimu tena, bali mambo yao mengine, pumzika salama kamanda 🐒
 
Kwamba atajiunga na watekaji? Au?
 
Hii ni Tanzania kama wanataka hao mabeberu wanaowatuma ndo wafanye uchunguzi basi waende huko huko kwa mabeberu wakafanyie uchunguzi huko
Wamesema wanataka tume ya kijaji wangalau wana imani nayo. Lakini shirika huru toka nje wana imani nalo zaidi. Ila sio polisi. Hata mimi naona cdm wana point, huwezi kutoa ushahidi kwa muhalifu.
 
Hawa ndio wanaotumiwa na hao wauaji wakiamini watu wote hawana akili kama walivyo wao.
Kama tuna watu wana akili za kijinga namna hii basi kupiga hatua itatuchukua Karne nyingi sana
 
..kinachoweza kusema ni kwamba vyombo vya kimataifa vilivyopendekezwa viko vizuri na vina weledi.

..pia kuna mazingira ya kutuhumiana, hivyo wachunguzi toka nje watasaidia kufanya kazi ya uchunguzi bila kuendelea wala kukandamiza upande wowote.
Kwamba katika watanzania zaidi ya 500k wenye uelewa timamu hakuna wanaofaa kuwepo kwenye jopo la uchunguzi na tukapata matokeo sahihi mpaka waje hao wazungu?

Bado tuko chini ya utawala wao?
 
Hizo ni general statements za kuchotea sympathy tu hazisaidii hata kidogo kumaliza Tatizo.
 
Nikatoe ushirikiano kwa mtu nisiemuamini? Ni wehu kumbee
 
Think tank ya chama chawala ni mahututi bin taaban kabisa wallah
 
Think tank ya chama chawala ni mahututi bin taaban kabisa wallah
 
Kwamba katika watanzania zaidi ya 500k wenye uelewa timamu hakuna wanaofaa kuwepo kwenye jopo la uchunguzi na tukapata matokeo sahihi mpaka waje hao wazungu?

Bado tuko chini ya utawala wao?

..mbona bandarini tumeleta watu toka nje?

..hili la kuchunguza nani anateka na kuua wapinzani kwanini iwe shida kuleta wachunguzi toka nje?
 
Reactions: Cyb
Tatizo ni kuwa polisi hawa walishageuka majambazi wa kuteka, kutesa na kuua.....

Huo wito wenyewe wa polisi umeuona wewe? Umezingatia taratibu za kisheria?

Kama Jamaa wameupuuza ni wazi kuwa umekuja kwa staili ileile ya watekaji ambao huvaa koti la "u - Polisi" kumbe ni magaidi na majambazi mauaji...!

John Mnyika si mjinga kama wewe.....

Hebu fikiri hili....

Kama anaona wenzake wanachukuliwa na watu wanaojiita "polisi" halafu kesho yake, mtu anaokotwa akiwa mfu au maiti, unadhani afanye nini yanapojitokeza mazingira kama hayo kwake au kwa mtu mwingine..?

Tumia akili yako vizuri kujiponya mwenyewe...!!!!
 
Reactions: Cyb
..mbona bandarini tumeleta watu toka nje?

..hili la kuchunguza nani anateka na kuua wapinzani kwanini iwe shida kuleta wachunguzi toka nje?
Uko serious unaweka mfano wa uwekezaji bandarini ku compare na kuleta vyombo vya ulinzi na Usalama kutoka nje kuja kuchunguza na “kusafisha “ jeshi la polisi la nchi yako?
 
Kwamba umejipinda hapa kuandika kumjibu mjinga?!

Kajifunze adabu.

Uko serious unaweka mfano wa uwekezaji bandarini ku compare na kuleta vyombo vya ulinzi na Usalama kutoka nje kuja kuchunguza na “kusafisha “ jeshi la polisi la nchi yako?

..haina shida yoyote.

..zana zote zinazotumika na majeshi yetu zimetengenezwa nje ya nchi.

..majuzi tulikuwa na mazoezi ya kijeshi na Wachina.

..Pia tuna mazoezi ya kijeshi na Wamarekani.

..katika mazingira hayo kuna shida gani kuomba msaada ktk uchunguzi wa mambo ambayo tumeshindwa kuyachunguza?
 
Reactions: Cyb
Wamesema wanataka tume ya kijaji wangalau wana imani nayo. Lakini shirika huru toka nje wana imani nalo zaidi. Ila sio polisi. Hata mimi naona cdm wana point, huwezi kutoa ushahidi kwa muhalifu.
Basi hamieni hukohuko kwa mnaowaamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…