Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

Hizo ni general statements za kuchotea sympathy tu hazisaidii hata kidogo kumaliza Tatizo.
Hapa sio suala la sympathy. Umewahi kusikia neno linaitwa empathy? Unajua maana yake? Sasa neno hilo lipo katika msamiati kwa sababu maalum, na ni communities zinazoishi kama wanyama tu, primitive communities, ambazo haziwezi kuwa na msamiati kama huo katika akili na matendo yao. Angalia comment yako isiku-categorize kama mmojawapo wa society ambayo haihitaji neno emphathy katika maisha yao. Naiona CCM, viongozi na mashabiki wake wote kama primitive community. They dont care, they have no emphathy, nor symphathy unayoisema wewe to Tanzanians and no loyalty to this country. CCM wapo pale kwa ajili yao wenyewe na familia zo, na will do anything wasiondolewe katika ufalme wao huo, pamoja na kuua mtu yeyote anaeonekana ni tishio kwa himaya yao. Usipoliona hilo wewe ni mtu wa kuhurumiwa kweli.
 
Back
Top Bottom