Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
On target yapili natabir goli mtaniambiaHapana huyu dogo atafika mbali Amini
Dogo ally yupo freshO
On target yapili natabir goli mtaniambia
Ukizeeka utakuwa mchawiKama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha
Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa
Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Futa andiko lako na uombe radhi topolo wewe. Huna inchokijua.Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha
Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa
Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Mwache period imemjia ghaflaDada una lingine au tusikusumbue?
Sawa mchang'ombeKama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha
Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa
Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Mkuu unaongea kistaarabu mno, badala ya kinyesi ungesema mavi kbs.Vp ameigharimu???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzi ni kinyesi huu