Leo Ally Salimu ataigharimu Simba pakubwa

Leo Ally Salimu ataigharimu Simba pakubwa

Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha

Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa

Hamna kitu hapo, bahati tu ilikua upande wake
Sawa mchang'ombe
 
Back
Top Bottom